CRJE na ufisadi serikalini

CRJE na ufisadi serikalini

Jengo kuwa na nyufa inaweza isiwe kosa la contractor moja kwa moja, inawezekana kosa likawa la consultant aliyedesign jengo
exactly, mjenzi anafuata michoro ilivyo, kama mchoro unamakosa yeye atarekebishaje? kama mhandisi mwelekezi hajaona hilo kosa yeye mjenzi atalionaje?
 
kweli kabisaa kwa mfano kuna jamaa yangu ananiambia udom inamiaka mitatu na nusu lakini majengo yake yana crake za kutisha,tiles zinacheza ukikanya majengo hayajakabidhiwa lakini yanahitaji repair na ni hao hao CRJE,they do not know if cheaper things comes with costs
Majengo ya UDOM yalishaanza kupasuka, tiles zinabanduka hovyo na kuna majengo yapo college ya Social Science hayana tiles utadhani yamejengwa mwaka 1980!
 
Sewage system mfano ,kwenye majengo ya college ya humanities ni mbovu sana ,tuseme college zote kuna shida tiles zimebanduka.......yaani ni tabu tupu ...kwa ujumla ukiangalua umri wa chuo na majengo unaweka alama ya ulizo
kubanduka tiles inaweza kuwa kosa la cement mbovu, kumbuka hawaji na cement wananunua hapahapa, pia kubanduka tiles linaweza kuwa kosa la mafundi washi, ikumbukwe ni hapahapa udom vibarua waliandamana kuwa kazi zao zinachukuliwa na wachina sasa wabongo wamepewa hayo ndo matokeo yake.

tukumbuke wakati wa ujenzi wa udom huyu mchina alilalamikia wizi wa vifaa vya ujenzi ikiwemo saruji na migomo ya kijinga ya vibarua tulidhani tunamkomoa mchina kumbe tunajikomoa wenyewe saruji tuibe tufanyekazi mbovu wanao kuja kuumia ni watoto wetu wenyewe.
 
Majengo ya UDOM yalishaanza kupasuka, tiles zinabanduka hovyo na kuna majengo yapo college ya Social Science hayana tiles utadhani yamejengwa mwaka 1980!
jamani saruji si tuliiba wenyewe! na tuliendesha migomo baridi tulidhani tunamkomoa mchina kumbe tunajikomoa wenyewe haya ndo madhara ya siasa za akina lema.
 
kumbe kampuni ya Katibu mkuu kiongozi bwana SEFUE
1456724464394.jpg

Inawezekana
 
Tusidanganyane wakubwa, wakandarasi wazawa n pasua kichwa, uku nilipo miradi inayofanywa na wazawa ni balaaa! Miradi haijaisha wamekimbia kazi, wakishalipwa 80% ya malipo utaisoma namba! Au kama mradi unahitaji alipwe advance, akipewa tu mtaona manyoya, kuna hii miradi ya world bank ya kujenga SEKONDARI kwenye baadhi ya wilaya wamepewa wazawa, simple tu nenda kaangalie upupu walioufanya maana hawana uchungu na watoto wao kama wanaweza somea hapo, mfano mwingine mzuri n pale unapo MPA mzawa akujengee Nyumba ya kuishi hapo kama hamjafikishana mpaka polisi jua huyo c mtanzania!
 
kubanduka tiles inaweza kuwa kosa la cement mbovu, kumbuka hawaji na cement wananunua hapahapa, pia kubanduka tiles linaweza kuwa kosa la mafundi washi, ikumbukwe ni hapahapa udom vibarua waliandamana kuwa kazi zao zinachukuliwa na wachina sasa wabongo wamepewa hayo ndo matokeo yake.

tukumbuke wakati wa ujenzi wa udom huyu mchina alilalamikia wizi wa vifaa vya ujenzi ikiwemo saruji na migomo ya kijinga ya vibarua tulidhani tunamkomoa mchina kumbe tunajikomoa wenyewe saruji tuibe tufanyekazi mbovu wanao kuja kuumia ni watoto wetu wenyewe.
Wizi usiwe kisingizio cha ku under perform.....wanatakiwa wadhibiti ubora uzingatiwe na hizi mifumo mibovu za sewage system tatizo ni nn ?
 
jamani saruji si tuliiba wenyewe! na tuliendesha migomo baridi tulidhani tunamkomoa mchina kumbe tunajikomoa wenyewe haya ndo madhara ya siasa za akina lema.
Ni kweli sometimes sisi Watz pia ni tatizo. Kuna jamaa yangu mmoja anatokea Iringa alinisimulia kuwa aliwahi kuingia nyumba ya jamaa mmoja alisoma UDOM alikuwa UDOSO (Serikali ya wanafunzi) ndani alikuta tiles kama za UDOM. Jamaa alimwambia alizipiga UDOM.
 
Wizi usiwe kisingizio cha ku under perform.....wanatakiwa wadhibiti ubora uzingatiwe na hizi mifumo mibovu za sewage system tatizo ni nn ?
kuziba kwa mifereji ya maji taka inaweza kuwa ni kondom au uchafu mwingine wa aibu, tumesikia chuo kimoja mdada alikuwa anaishi kimada bwenini tena na mtu asiyekuwa mwanachuo,
 
1-26.jpg

Hii ni kampuni ya ujenzi ya waChina hapa Tanzania

hii kampuni inaongoza kwa kutuhumiwa kuwatajirisha maofisa wa serikali ambao wanahusika kwa namna moja au nyingine kutoa tenda za ujenzi.

CRB nao inaonekana hawana uwezo wa kuwafanya kitu lakini kwa sababu kampuni za wazalendo hazipendwi na maofisa waserikali kwani hazitoi rushwa, sasa hivi wazalendo wengi wameamua eidha kuuza au kuhamia nchi za jirani huku Tanzania inaachiwa CRJE

Kama hamumini tazameni nani anapitisha tenda za hiii kampuni na hali zao za kimaisha zikoje. Pia kwa kuwa waChina bei zao ni za chini mno lakini ukweli ni kuwa wanaweka materials ambazo ni hafifu sana kwenye majengo lakini of course kwa sababu washawanuanua ma inspectors hakuna anayeweza kutia neno.

sisi kama wama taaluma hiii tumefika hatua ya kukata tamaa na juzi nilikutana na wanafunzi toka ardhi ambao ilibidi niwape hali halisi ilivyo huku nje ya shule.

Kama serikali ispoliangalia hili kwa undani basi muda si mrefu mtaona industry nzima inaanguka Tanzania wakati Rwanda na Kenya serikali zao zina linda local companies.
Msuya acha siasa za majitaka, CRJE Mr. Wang alikuja miaka ya themanini akiwa daktari wa mitishamba wa kichina badae akaanza biashara ya mabasi ya Inter City na Golden Coach ndiye aliyeleta basi la kwanza la youtong likiwa na engene nyuma. akakutana na fursa za ujenzi hasa wakati wa sakata la ujenzi wa majengo pacha ya BOT,

huyu mchina aliletwa na mtanzania mmoja rafiki yake aliyekuwa anasoma china na hadi miaka ya tisini alikuwa akiishi nyumbani kwa huyo mtanzania maeneo ya nyamanoro mwanza, wala hana uhusionao wowote na sefue.
 
kuziba kwa mifereji ya maji taka inaweza kuwa ni kondom au uchafu mwingine wa aibu, tumesikia chuo kimoja mdada alikuwa anaishi kimada bwenini tena na mtu asiyekuwa mwanachuo,
Ila kuna tatizo mahali ...majengo mpya ila dah kuna kasoro mahali...
 
Ila kuna tatizo mahali ...majengo mpya ila dah kuna kasoro mahali...
pale ruvu sekondari vilijengwa vyoo vya kisasa na wacuba watoto wakawa wanatawazia magunzi na majani ya miembe vyoo vyote vikaziba wakachimbiwa vyoo vya shimo, hapo udom wajengewe vyoo vya shimo (drop hole latrine). watu watupe kondomu ped watawazie magazeti na majaradio makukuu viache kuziba kweli?
 
Kama ni tabia ya wanachuo ..hiyo mbona vyuo vingine hilo halitokei...?? Mwanacho hawez kutupa taka ngum chooni.....ikitokea ni wachache sana
 
Kama ni tabia ya wanachuo ..hiyo mbona vyuo vingine hilo halitokei...?? Mwanacho hawez kutupa taka ngum chooni.....ikitokea ni wachache sana
vyuo vingi kuna vyoo vya shimo, wawachimbie na hao udom
 
Tusidanganyane wakubwa, wakandarasi wazawa n pasua kichwa, uku nilipo miradi inayofanywa na wazawa ni balaaa! Miradi haijaisha wamekimbia kazi, wakishalipwa 80% ya malipo utaisoma namba! Au kama mradi unahitaji alipwe advance, akipewa tu mtaona manyoya, kuna hii miradi ya world bank ya kujenga SEKONDARI kwenye baadhi ya wilaya wamepewa wazawa, simple tu nenda kaangalie upupu walioufanya maana hawana uchungu na watoto wao kama wanaweza somea hapo, mfano mwingine mzuri n pale unapo MPA mzawa akujengee Nyumba ya kuishi hapo kama hamjafikishana mpaka polisi jua huyo c mtanzania!
Umenena ukweli haswa na mifano ni mingi sana ingawa sikubaliani na kutowapatia tenda wazawa. Lazima tubadilike
 
mimi naona makampuni ya Kizalendo bora yakafute tuu uanachama wake pale ERB kwani haina maana kusajiliwa na kulipa ada huku kazi zenyewe zote wanapewa wenye kutoa pesa
Unajua process za tendering?

CRJE ni state run corporation, wamefanya miradi mikubwa mingi sana duniani, hata mimi nitawaamini hao kunijengea ghorofa zangu, ni kampuni chache sana za wazalendo zinaweza ku compete na hawa Jamaa, na jamaa wanakuwa na chance kubwa ya kushinda tenda kwasababu wana enjoy the benefit of economies of scale.

Pili angalia hao jamaa CRJE, je hiyo kazi wanafanya wenyewe?huoni makampuni ya kitanzania hapo?unadhani CRJE wameomba wenyewe hiyo kazi au wanafanya wenyewe?BIG NO, kuna consultants wazalendo hapo
 
China Railways Jiangchan Engineering - CRJE
China Construction Company -CHICO
China Geo Engineering Company - CEGC
CCCE

wachina kiboko .... tumekwisha
China Civil Engineering Company - CCEC
Hawa jamaa nao wanajenga daraja la Kigamboni so full kula 10% tu
 
Nani amewahi kuingia jengo la uhuru heights lenye bank Abc pale mahakama ya kisutu. Ni jengo lisilo na material imara haswa vyooni. Mbao za mabua hizi zinazotengenezwa kabati za kichina mende huwa wanazipenda sana kupekecha. Ma sink ya bati yana kutu koki za mabomba, vyoo vishaharibika. Maji yanavuja ovyo vyooni kwa kweli wachina ni wale wa enzi ya mwalimu nyerere waliojenga tazara hawa wa sasa ni human cloning
 
Back
Top Bottom