SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,367
Ohooo!Ronaldo imemchukua mechi 286 kufunga goli 300 la liga.
Wakati messi ilibid acheze mechi 324
Ohooo!Ronaldo imemchukua mechi 286 kufunga goli 300 la liga.
Wakati messi ilibid acheze mechi 324
Acha uongo, amekuja wakiwa hawapoRonaldo kaja Madrid akiwa katika ubora tayari, Messi alikuwa bado na akina Gaucho, Deco n.k
Gaucho alikuwepo bnaaAcha uongo, amekuja wakiwa hawapo
Nimeona mwakilishi maarufu(Man U) wa ligi ya wanaume kwenye mpambano wa UEFA,maana yake hicho ndio kipimo tunachotumi kwakuwa timu zote hukutana. Sio ule umaarufu uchwara wa kutegemea 'kiki' za media.na huko alipotoka ilikua ligi ya wanaume sio wakina getafe....
Penati noma sana
Na sasa hivi tofauti ni goli 3 tu,toka goli 13 januaryMshambuliaji wa Ureno na Real Madrid Cristiano Ronaldo aliwahakikishia wenzake wa Real Madrid kwamba atashinda taji la mfungaji mwenye mabao mengi katika ligi ya La Liga licha ya Messi kuwa na mabao 11 zaidi ya yake. (Marca)
AbsolutelyMashabiki wengi wa Man united mnamahaba mazito na CR7.
Ni vizuri kutoa hizo takwimu bila kuchanganya ligi....mfano: Messi amecheza mechi 1000 la liga, kafunga goli 10, mechi 500 uefa goli 1000. Kisha unasema, CR7 aliingia la liga akiwa na magoli labda 12 kwa mechi 30,000 alizocheza epl, goli 12,000 kwa mechi 3 alizochez Uefa n.kKitu ambacho kwa wapenzi wa Ronaldo kama wewe huwezi sema kafunga magoli hayo baada ya Mechi ngapi.Mfano Ronaldo kafikisha goli 100 akiwa amecheza mechi 27 zaidi ya Messi.Swali je Messi akicheza hizo mechi 27 alizonazo mkononi zaidi ya mpinzani wake atakuwa na goli ngapi.Huwezi ongea hili,utaingelea wingi wa goli tu lakini huwezi jiuliza kafunga hizo akiwa kacheza mechi ngapi.Pole
Penadolcristiano ronalgoal
Huo ni mtazamo wako. Wengine pia watahoji kama Mess angecheza ile ligi ya fujo na wapaki mabasi angefunga goli ngapi. Ronaldo kaanza kucheza huko ureno kabla ya kuja man u. Kacheza timu 3 tofauti akiwa na viwango tofauti.. Tupe takwimu baada ya kuingia laliga tuone.Kitu ambacho kwa wapenzi wa Ronaldo kama wewe huwezi sema kafunga magoli hayo baada ya Mechi ngapi.Mfano Ronaldo kafikisha goli 100 akiwa amecheza mechi 27 zaidi ya Messi.Swali je Messi akicheza hizo mechi 27 alizonazo mkononi zaidi ya mpinzani wake atakuwa na goli ngapi.Huwezi ongea hili,utaingelea wingi wa goli tu lakini huwezi jiuliza kafunga hizo akiwa kacheza mechi ngapi.Pole
lizama atimize ahadi huyo ndio RonaldoMshambuliaji wa Ureno na Real Madrid Cristiano Ronaldo aliwahakikishia wenzake wa Real Madrid kwamba atashinda taji la mfungaji mwenye mabao mengi katika ligi ya La Liga licha ya Messi kuwa na mabao 11 zaidi ya yake. (Marca)