Cristiano Ronaldo ni mchezaji hatari zaidi, takwimu hazidanganyi

CR7 "Insects Only Attack Lights That Shines"

Meseji Ya CR7 Mwaka 2017 Instagram baada ya Kukabiliwa na kesi ya Ukwepaji Kodi Spain..na Wanafiki Kurusha vijembe Kwa CR7.

What'sup Harmonize..

"One love kwa Wanangu wakitaa mnaonunua CD.
Two love kwa Wanafiki Wa insta Mnanifanya niongoze biidii."

Spain Kesi nyingi za Ukwepaji kodi Kwa Wachezaji na Makocha ni nyingi.

A Tax Country-Spain.


Na heshimu sana Juhudi na Mafanikio ya CR7.

IN MY Opinion-CR7 alikuwa anavutia sana kutazama akiwa dimbani Miaka 2004-2009.

Unapata buradani tena na tena ya kumtazama,Ilikuwa Kama Unatazama Mhuni Ricostrong anavyotanua Mapaja ya Victoria Cakes au Delvin Weed Only Prince anavyojipakulia Asali ya Nina rotti the Beautiful Ebony au kumtazama fala Lil d anavyokamatia ngongingo ya Ms London ndani ya Las Vegas.


Alivyobadilika na kuwa goal Mashine ndani ya laliga Spain ni jambo kubwa sana sana.


Kuna jamaa yangu nilimwambia baada ya kufatilia mazoezi yake Mwaka 2018,CR7 bado anamuda sana dimbani anafanya mazoezi si yakawaida Huyu bwana.


CR7 anapenda Uchi sana,anapenda Pussy/Nyapu/..

Kwa Waumini Wa Mzee wa Upako anapewa Jina Moja Tu-Mzinzi/Mwasherati/anapepo la ngono.


CR7-anauwezo wa kutumia miguu Yote.
-Anamashuti Makali Miguu yote.
-Ana nguvu za Mwili kubwa sana.
-AnUwezo Mkubwa Wa kuruka hewani
-AnUwezo Mkubwa wa Riadha.
-Mtu asiye na huruma ndani Ya 18
-Mtu asiye katatamaa uwanjani


Sir Alex aliulizwa anavyodai yeye ndani ya kitabu chake Autobiography 2013.

Nani bora Mess au CR7 Akapigapiga Chenga kutoa jibu la moja kwa moja.


Jose Mourinho yeye Kuulizwa Mess au Ronaldo akajibu Ronaldo Delima Brazil...


CR7 anavutia/kutia hamasa vijana Wengi katika Mafanikio yake Dimbani..
Nmependa mbwembwe zako za kina Nina rotti na Ms London
 
Hahaha,,,Tupo Pamoja Man,
Nmependa mbwembwe zako za kina Nina rotti na Ms London

Nimechomekea kidogo hiyo Industry,

Sababu Cr7 Mwenyewe anapenda Nyapu sana...


Kuna Watoto Wazuri Ukiwaona Kwenye Industry Ingawa kuna Make-up na Manjonjo,Unashika kichwa nakujiuliza Wtf,What The he'll ...


Unapoona Kitoto Kizuri Mfano Wa Nina Kinagawa Asali mbele ya HD Camera inakuwa ni balaaa Tupu.


Kunabaadhi ya Mademu zetu kitaa wanapigwa chini kwa viwango na baadhi ya mademu wa Industry..!
 
Mkuu kama ulivyosema

G. O. A. T ni abbreviation ya Greatest of All Time ambapo kiswahili chake ni Bora kwa muda wote

Hapa tunaongelea mchezaji/wachezaji wa soka, hivyo tunaongelea wachezaji bora wa muda wote

Kwa uelewa wangu Wachezazaji/Mchezaji Bora wa Muda/Wakati Wote ni wale wachezaji ambao kwa uwezo walionao/waliowahi kuwa nao iwe karne ya 5, iwe karne 10 iwe karne ya 20 ama karne ya 21 wataendelea kuimbwa mpaka pasipo ukomo.

Ni wale wachezaji ambao kwa uwezo wao wangeweza ku shine miaka 1950,miaka 1970, miaka ya 2000 ama miaka ya 2050. Hawa ni wachezaji ambao pengine hutokea baada ya kitambo kupita, mfano baada ya miaka 100 au 200 wanatokea mara moja (japo enzi za CR7 na Messi zimetoa exceptional). Hawa wachezaji huwezi kuwapata mara kwa mara.

Hawa ni wachezaji ambao walicheza mpira miaka 100 iliyopita lakini kupata habari zao au kuwasikia sio mpaka u Google, automatically wanatajwa tu, likitokea jambo flani kwenye soka anatajwa... Lisipotokea jambo flani kwenye soka anatajwa. Huyo/hao ni Greatest Players of All Time kwa mtazamo wangu.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Shukran Mkuu kwa Ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom