Cristiano Ronaldo ni mchezaji hatari zaidi, takwimu hazidanganyi

Ronaldo kaja Madrid akiwa katika ubora tayari, Messi alikuwa bado na akina Gaucho, Deco n.k
Messi kaanza kacheza barca 2005 mechi kubwa ya ulaya alicheza dhid ya Chelsea Stamford bridge wakat Ronaldo hata bench la united hakai
 
IMG_20180307_183033_788.jpg
 
Uefa most assist
zamani tulikuwa tunaambiwa Ronaldo mchoyo, Messi anagawia wenzake mapande.

Pamoja na Messi kucheza na wachezaji Hatari kama suarez na Neymar ila amepitwa Assist na Ronaldo ambaye anacheza na kina isco, Asensio, bale, benzema etc ambao hawalijui sana goli.

Uefa Top assist.

1. Ronaldo 33
2. Giggs 30
3. messi 25
 
Back
Top Bottom