handymartin
Member
- Jul 15, 2013
- 47
- 16
FIFA wamemsahau kabisa.Maradona....Badala yake wanamtukuza Pele...
Nadhani huo ni mtizamo wako mkuu....Mmoja mmoja, Messi hana wa kufanana nae kati yao, ila kwa vigezo vinavyomfanya mchezaji kuwa bora wa Dunia, Ribery ana vigezo vyote kwa mwaka 2013 in fact Ronaldo hakutakiwa hata kuwepo kwenye tatu bora because he won nothing in 2013
Nimekusoma Chifu.....Chifu, hiyo tuzo ndio kwa mara ya kwanza...naamini siyo Maradona tu, hata greats wengine ambao hawajawahi kushinda tuzo ya Ballon d'Or watakuwa wakipewa hiyo tuzo ya heshima....
Ila kwa upande mwingine chifu, unajua wenzetu wanapenda watu ambao watakuwa na mfano mzuri kwa watoto wao, watu ambao watoto wao wakiwaangalia, wanatamani kuwa kama wao.....sasa huyu bwana Maradona na ujunkie wake, nani kweli atapenda awe idol kwa mtoto wake? Mi naamini hilo la ujunkie limemwaribia sana Maradona, otherwise nakumbuka kwenye lile shindano la nani bora kati yake na Pele (katika karne ya 20), kura zilitoka droo, na hivyo kupelekea FIFA kuwapa wote....
Don't miss the memmorable event gala 2day @21:30
Holla CR-77777777777777777:clap2:
View attachment 132165CR-7 aliving at Zurich with his baby mama Irina Shayak
View attachment 132168
View attachment 132169
View attachment 132170
View attachment 132171
View attachment 132172
View attachment 132174
View attachment 132173
View attachment 132166
Nadhani huo ni mtizamo wako mkuu....
Kwa mmoja mmoja mwingine atasema Ronaldo hana wa kufanana nae....Mwingine atasema Messi hana wa kufanana nae...Mwingine atasema Ribery hana wa kufanana nae.....
Una uhakika kwamba kigezo cha kuchukua Ballon D'Or ni mpaka mchezaji awe amechukua Kombe la aina yoyote?...
Hebu tupe vigezo rasmi vya mchezaji kushinda Ballon D'Or mkuu....
The FIFA Ballon d'Or (French pronunciation: ​[balɔ̃ dɔʁ], "Golden Ball") is an association football award given annually to the player who is considered to have performed the best in the previous year. It is awarded based on votes by coaches and captains of international teams, as well as journalists from around the world.
The award started in 2010 after France Football's Ballon d'Or and the men's FIFA World Player of the Year award were merged. The winner of the inaugural 2010 FIFA Ballon d'Or was Lionel Messi who then went on to reclaim the title the following two years. After the merger, the FIFA World Player of the Year award became a women-only award.
YAAN Kama CR 7 akibeba leo.... nitaamini kuwa hizi tuzo si za ubora ni za siasa.... Yaan watu hawapimi mafanikio yake ila wanataka achukue kwa sababu tu ajilinganishe na MESSI.....
Ribery akikosa nachana bendera ya FIFA kwa hasira zangu.... Maana kwa vigezo huyu jamaa anastahili mwaka huuu si Ronaldo wala MESSI.... tena bora hata MESSI arudie tena kuliko CR maana hana kombe lolote alilobeba...
Mkuu naomba utuwekee hata vigezo vya zamani....Maana vinavyotumika ni vilevile vya 'FIFA Player of the year award' vilivyotumika mpaka 2009.....Kilichofanyika ni kuunganisha tu ile tuzo ya Ballon D'Or na 'FIFA Player of the year award' ...Inawezekana me sijui kuwa vigezo vimekuwa vipya na kwamba hii zawadi ilianza mwaka 2010 ndio maana sijui hivyo vigezo vipya vilivyoanzishwa mwaka 2010
Watu mna mahaba popo kweli.. MFUKUZI
Mwaka 2010, Iniaesta,Xavi,Casilas walibeba kombe la dunia kwa kandanda safi,Messi na Algentina ya Maradona walikula kichambo cha mabao manne nunge kwa mkoloni Germany,
Haya,Champions League Morinho aliibeba na Intermilan,na Mtaalam snejder akiwa kwenye Form,na Snejder alifika final world cup,
bado Ballon d'or alipewa Messi,leo mnaongea nini@
cc: Mourinho, Gang Chomba, #teammahabapopo ...
Mkuu naomba utuwekee hata vigezo vya zamani....Maana vinavyotumika ni vilevile vya 'FIFA Player of the year award' vilivyotumika mpaka 2009.....Kilichofanyika ni kuunganisha tu ile tuzo ya Ballon D'Or na 'FIFA Player of the year award' ...
http://www.fifa.com/mm/document/bal...2/26/02/68/fboaward_menplayer2013_neutral.pdf
Hiyo link ina file la pdf inaonesha jinsi kura zilivyopigwa
Tanzania (Captain -Juma Kaseja)
5 points-ronaldo
3points-messi
1point-van persie
Kura ambazo wapikura kama kina Buffon na Goran Pandev walishazikataa matokeo yake kuwa ni kinyume na walichochagua.
Ni rahisi sana Mkuu, kabla ya kina Blatter kuchakachua hivyo vigezo, ni mchezaji gani prio to 2009 alipewa zawadi ya mchezaji bora wa Dunia bila kushinda chochote katika ngazi ya club au Taifa