mwanaharakati_msemahovyo
Member
- Oct 5, 2007
- 6
- 0
Taking action after seeing the devastating impact or effect of something or situation is sometimes refered to as "Crisis Management".A person of this kind is always driven by the events.Haoni mbele!!Hii ni hatari!!
Raisi wa Jamhuri yetu amekuwa na mtindo huu.Sipendi kabisa kuona jambo kama hili likimtokea Raisi wangu;Jemedari wa vikosi vya Usalama wa Jamhuri yetu!!Sipendi,sipendi!!
Kuna mambo mengi yametukia na yanaendelea kutukia na yatatukia.
Ya mzee wa vijisenti wananchi wa jamhuri hii walinena!!Wakalonga sanaaa!!mheshimiwa raisi fisadi huyu hatufai.
Bila ajizi mheshimiwa raisi ukawakaidi na kulirudisha kiraka katika suti mpya ambayo walipa kodi wa nchi hii walikupatia.
Inawezekana Washauri wa raisi wetu wamepungukiwa hekima au raisi wetu amekuwa na kiburi kisichoelezeka kama alivyo mtangulizi wake aliyejiita mr.clean(mr.dirty as of now).
Wana JF toeni wito walau raisi wetu aamke katika usingizi huu mzito wa kuchelewa kuchukua maamuzi katika masuala yaliyo muhimu kabisa ya jamhuri yetu!!