Crisis Management:presidentjk Always On Board

Oct 5, 2007
6
0
Taking action after seeing the devastating impact or effect of something or situation is sometimes refered to as "Crisis Management".A person of this kind is always driven by the events.Haoni mbele!!Hii ni hatari!!

Raisi wa Jamhuri yetu amekuwa na mtindo huu.Sipendi kabisa kuona jambo kama hili likimtokea Raisi wangu;Jemedari wa vikosi vya Usalama wa Jamhuri yetu!!Sipendi,sipendi!!

Kuna mambo mengi yametukia na yanaendelea kutukia na yatatukia.

Ya mzee wa vijisenti wananchi wa jamhuri hii walinena!!Wakalonga sanaaa!!mheshimiwa raisi fisadi huyu hatufai.

Bila ajizi mheshimiwa raisi ukawakaidi na kulirudisha kiraka katika suti mpya ambayo walipa kodi wa nchi hii walikupatia.

Inawezekana Washauri wa raisi wetu wamepungukiwa hekima au raisi wetu amekuwa na kiburi kisichoelezeka kama alivyo mtangulizi wake aliyejiita mr.clean(mr.dirty as of now).

Wana JF toeni wito walau raisi wetu aamke katika usingizi huu mzito wa kuchelewa kuchukua maamuzi katika masuala yaliyo muhimu kabisa ya jamhuri yetu!!
 
yah prevention is better than cure ila hapa ni kwamba unatoa wito kumshauri Rais ama kumshinikiza kufanya mambo kwa maslahi ya Taifa?kwa kuwa nadhani mara nyingi anajua anachofanya yeye ana vyazo zingi vya habari kuliko sisi ni kwamba anachagua kufanya afanyazo kwa sababu anazozijua.

Mimi naona hoja yako ni nzuri sana hivyo basi sisi tunakazi ya kushinikiza mema yatendeke kupitia forum kama hizi,magazeti,vyombo ya mawasiliano ,mashirika ya haki za binadamu na pia kuwapa data pia wabunge wetu wanaotuwakilisha bungeni ili waweze kushughulikia ktk level yao pia.Pamoja tunaweza!
Cha muhimu ni approach kuelekea solution which matter.
 
Wana JF toeni wito walau raisi wetu aamke katika usingizi huu mzito wa kuchelewa kuchukua maamuzi katika masuala yaliyo muhimu kabisa ya jamhuri yetu!!

whispers433.jpg
 
Ni kweli JK anaongoza nchi katika mising ya Management of Crisis badala ya kuwa na Stratergic Management. Lakini kuna fununu jijini Dar ambazo nisingependa kuziamini kuwa inawezekana kuwa ni mpango wake kuwaweka kwenye spotlight hao mafisadi ndio ilikuwa mpango wake ili waanguke wenyewe badala ya kuingiza earth quake ndani ya CCM. Kama ni kweli, itakuwa ni mbinu ya ajabu sana na sijui itafanikiwa lini na kwa kiasi gani.

.............................................
 
Tatizo ni kuwa rais wetu anajiamini kupita kiasi na ndio maana amekuwa anapuuzia ushauri wa kufaa mpaka mambo yanapoharibika.
GT, fafanua ujumbe wako hapo juu please
 
Tatizo ni kuwa rais wetu anajiamini kupita kiasi na ndio maana amekuwa anapuuzia ushauri wa kufaa mpaka mambo yanapoharibika.
GT, fafanua ujumbe wako hapo juu please

Kundi hilo la muziki linaitwa the WHISPERS la 1960's natumai wewe ni wa zamani kama sie

Rais na timu yake ni bado wako enzi za kundi hili
 
Lakini, ni lazima tukubali - maamuzi muhimu na mazito kwenye mustakabali wa Taifa yanahitaji uangalifu mkubwa esp. kwa nchi kama yetu ambayo, kwa bahati mbaya kabisa, raia wake wengi hawaelewi ni nini kinachohitajika kuleta mabadiliko. Uongozi kuchukua hatua, ambazo licha ya kuwa stahili, zinaweza kutokueleweka kwa raia au kutumiwa na hao hao watuhumiwa kuiingiza nchi kwenye balaa kubwa. Sasa hivi tunalo jeshi kubwa tu la watu wasio na kazi au kipato chochote cha kujikimu, hawa ni rahisi sana kutumiwa na watu wenye nia mbaya.

Maamuzi yenye pupa au nia ya 'kufika haraka' kwa sasa hayastahili kabisa na ikiwezekana yaepukwe. Kitu kikubwa cha kuomba kiendelee ni 'ku-sustain' mabadiliko ya ki-fikra yaliyoanza kuonekana kwa raia na Bunge hivi sasa.
 
mwenye naona aanauza watanzania sio mwingine bali ni spika wa bunge ya jamhuri. Kwanini anapenda kuzima upinzaani? jamaa hana maana
 
Ni kweli JK anaongoza nchi katika mising ya Management of Crisis badala ya kuwa na Stratergic Management. Lakini kuna fununu jijini Dar ambazo nisingependa kuziamini kuwa inawezekana kuwa ni mpango wake kuwaweka kwenye spotlight hao mafisadi ndio ilikuwa mpango wake ili waanguke wenyewe badala ya kuingiza earth quake ndani ya CCM. Kama ni kweli, itakuwa ni mbinu ya ajabu sana na sijui itafanikiwa lini na kwa kiasi gani.
Kubwajinga you are right, hata Roma haikujengwa siku moja! Of course, tunaitaji kuendelea kupiga kelele ili wajitoe wenyewe kama Chenge!
 
Ni kweli JK anaongoza nchi katika mising ya Management of Crisis badala ya kuwa na Stratergic Management. Lakini kuna fununu jijini Dar ambazo nisingependa kuziamini kuwa inawezekana kuwa ni mpango wake kuwaweka kwenye spotlight hao mafisadi ndio ilikuwa mpango wake ili waanguke wenyewe badala ya kuingiza earth quake ndani ya CCM. Kama ni kweli, itakuwa ni mbinu ya ajabu sana na sijui itafanikiwa lini na kwa kiasi gani.

.............................................

Hakuna lolote kwa sababu ukitazama kwa undani na yeye ni sehemu ya huo ufisadi, Fedha zilizochotwa BoT zilitumika kwenye kampeni iliyomweka madarakani, ina maana kuwa kama huo ndio mtindo wake wa kuwashughulikia mafisadi, itafika wakati itabidi ajishughulike na yeye mwenyewe. Linawezekana hilo?
 
Ni kweli JK anaongoza nchi katika mising ya Management of Crisis badala ya kuwa na Stratergic Management. Lakini kuna fununu jijini Dar ambazo nisingependa kuziamini kuwa inawezekana kuwa ni mpango wake kuwaweka kwenye spotlight hao mafisadi ndio ilikuwa mpango wake ili waanguke wenyewe badala ya kuingiza earth quake ndani ya CCM. Kama ni kweli, itakuwa ni mbinu ya ajabu sana na sijui itafanikiwa lini na kwa kiasi gani.

Kubwajinga, hii na mimi nimeisikia..nadhani ni spin ya watu wake wameanzisha mitaani maana it doesnt make sense...hizi ni nafasi za kuwatumikia wananchi na siyo nafasi za kuweka wezi ili wajulikane.

Unajua mtu anafahamika kwa marafiki alionao..(the principle of "My name is your name" )

I believe JK should retire in 2010, this is poor leadership we are seeing. Waliulizwa kitengo gani cha serikali kinamchunguza Chenge, Sofia Simba alishindwa kujibu....i believe wanatudanganya hawa. Ni usanii tu
Not a single arrest has been made, no legal measures on Richmond,
nothing..its a joke.

Ile list ya Madawa ya Kulevya iko wapi
 
Nadhani sisi ndio tuna react na sio presida.

Question:: With the power that has been vested to Tanzania presidency, do u guys believe all we are seeing now could happen without his blessings???

My answer is no, and I believe JK is clearly on our side.

Is he perfect, no but he is the best we have now, so we should march on and expose grand corruption that is bleeding our nation.

TICTS and KIWIRA have to be returned back to the govt.

This is the plan that will save us billions of Tshs.
 
I just think he is in a dilenma because it is evident that all these scandals are interconnected somehow and evidence seem to link all these funds to his election as president. Sasa aanze kumshughulikia nani maana wote walimsaidia na hela iliingia CCM.

I wont be surprised kama jina lake halitaonekana kwenye list ya watu waliopokea hela. I agree all these companies zishughulikiwe lakini ultimately he has to share the blame because some of this nonsense was orchestrated by his close friends and you cant say he didnt know. Accountability is the key.
 
Nadhani sisi ndio tuna react na sio presida.

Question:: With the power that has been vested to Tanzania presidency, do u guys believe all we are seeing now could happen without his blessings???

My answer is no, and I believe JK is clearly on our side.

Is he perfect, no but he is the best we have now, so we should march on and expose grand corruption that is bleeding our nation.

TICTS and KIWIRA have to be returned back to the govt.

This is the plan that will save us billions of Tshs.

Ni vizuri awashughulikie ila mwishoni na yeye ajishughurikie pesa za uchaguzi tunataka iundwe kamati kwamba pesa zote CCM ilizitoka wapi?Nachelea kuwa hili anaweza kufanya.
Hii inamaanisha ukiona mtu mgumu kushughulikia jambo ujue anahusika ama kama atashughulikia kuna vitu ataruka.Ok yeye ashughulikie wale wasio muhusu kadiri awezavyo akija rais mwingine tutamshinikiza amshughulikie yeye,taratibu tutafika.Wajao watakuwa makini kuwa you can't stay at the top forever!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom