Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Baada ya kuitwaa Crimea Mnamo mwaka wa 2014 , Putin si akanogewa , kama waswahili wanavyosema Simba akionja nyama ya binadamu haanji , Baba fisi Putin si akaona aichukue Ukraine nzima , akaanza na pale Kyiv mji mkuu , wanajeshi wote wa miavuli kiliangamizwa pale uwanja wa ndege . Vita vya siku tatu vimechukua miezi 8.
Nashukuru misaada inayotolewa na Taifa tukufu la USA PAMOJA NA NATO BILA KUSAHAU SILAHA YETU PENDWA HIMARS NA JUVENAL SILAHA YA KG 12 PUTIN AKIISIKIA MAVI YANAGONGA CHUPI NA KURUDI NDANI.
Week mbili zijazo utasikia mwanajeshi wa Russia amemuondoa Kaputini.,Bila kumsahau MK CODE NUMBER ±254 HONGERA ZAKE BOSS.