chikanu chikali
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 1,144
- 1,835
madhara ya udikteta hayo, mtu mmoja anaamua chochote anachotaka hata kama haina faida kwa taifa, Russia inaongozwa na kakikundi kagogo sana lakini majority wanateseka yaani warusi mpaka na wale weusi wa kilombero.Mwaka 2014 Russia iliitwaa Crimea kutoka Ukraine , Waukeain wakapotezea . Baada ya SHETANI Putin kunogewa na kujiona mbabe akawa anaiwazia kuichukua mazima Ukraine Yote , kumbe mipango Yote wanafuatiliwa na Taifa kubwa USA na kuwapa taarifa zote muhimu wanajeshi wa Ukraine Wakajipanga , Mnamo Tarehe 24 February Russia ilishusha kile kikosi hatari cha parachute mjini Kyiv Ili wateke mji mkuu wa Ukraine . Huwezi amini kikosi chote sasa ni mbolea ya Alizeti .
uchaguz wetu 2020 magu alikuwa anatupeleka huko kwenye udikiteta