ni aibu kwa msanii anayejiita legend anamiliki spacio na vitara nyumba yenyewe kamaliza juzi tu hao clouds waache kumpa bichwa aeleze vitu anavyomiliki chamelion uganda yeye si alikaa wiki nzima kwenye nyumba ya chamelion. Hizo ni levo za kina daimond wamlinganishe na mafanikio ya sugu prof jay acha kujivunjia heshima
ila tambua kuwa Prof J ni mtaalam wa IT ana Diploma yake,na kabla ya mziki nadhani alikuwa Tanga kikazi,so ni mtu ambae anamaono ya mbali sana maana kama mziki ungekuwa ndio chanzo cha mapato pekee basi mtu kama feroozi angekuwa mbali sana,lakini nasikia kauza hadi Gari kabaki mweupe
unaweza ukawa na pesa lakini usiwaze kujenga wala kununua magari ukafikilia kuvaa mashati ya Hongkong na kujirusha kwa kutaka kuwakoga watu
Hongera mkuu
Waswahili na waosha vinywa mna shida kweli...
Ukiwa na nyumba....ohooo sijui hiyo sio nyumba ya hadhi yako
Ukiwa hauna nyumba...ohooo sijui hata nyumba hauna hata kupanga hauwezi
Ukiwa una gari...ohoo sijui hiyo gari sio ya hadhi yako blah blah blah
Ukiwa hauna gari....ohooo sijui hata pikipiki au baiskeli hauna
Yaani utafikiri wanataka uishi maisha kulingana na wao wanavyotaka
Hahahaha!! Hii kali kweli aisee:lol:...TF humu ulimwenguni kuna watu na viatu
wangapi wameshika nafasi mbalimbali lakini hawana hata kiwanja mbali na nyumba
wengine kelele bure wakati wanalala kwa shikamoo na kula kwa shikamoo
:focus:
hongera profesa J