Crib la Profesa JAY na mikoko ya kufa mtu

Jamani nasikiaga kuwa lady jd kawafunika wasanii wote kimaendeleo aliye karibu naye atupe ukweli

Yeah, Jide amefunika wote. Ukisema ana bonge la CRIB hujakosea. Pamoja na VX anayopush (sijui kwa sasa). Nyumbani Lounge. Machozi Band. Hizi ni level ambazo Prof. Jay pia alitakiwa kuwepo LAKINI ngoja tuongee ukweli.

Profesa alikuwa mlevi mbwa na isingekuwa jitihada za wasanii wenye busara asingepiga hatua. Kwahivyo nampongeza Prof kwa kuwa na nyumba wasanii wengi wanatamani kuwa hapo ulipo. Big up ila kaza na wewe ujipatie ki'Nyumbani Lounge chako.
 
Hongera bro, angalau una pa kuweka ubavu though wananchi walitegemea makubwa zaidi ya haya, time will tell!
 
Yeah, Jide amefunika wote. Ukisema ana bonge la CRIB hujakosea. Pamoja na VX anayopush (sijui kwa sasa). Nyumbani Lounge. Machozi Band. Hizi ni level ambazo Prof. Jay pia alitakiwa kuwepo LAKINI ngoja tuongee ukweli.

Profesa alikuwa mlevi mbwa na isingekuwa jitihada za wasanii wenye busara asingepiga hatua. Kwahivyo nampongeza Prof kwa kuwa na nyumba wasanii wengi wanatamani kuwa hapo ulipo. Big up ila kaza na wewe ujipatie ki'Nyumbani Lounge chako.

Ahsante kaka
 
Back
Top Bottom