mzanzibara-
Senior Member
- Feb 3, 2014
- 179
- 61
Hi All
can somebody give me the programs of creating the websites without using HTML,
thanks all
Tumia program inaitwa WYSIWYG web builder hiyo itakufaa 100%
Kweli Betri Low! Utatengeneza website Kituko. May Be if it is for learning Parpose. Lakini kama ni serious matter mara 100 utumie Weebs.com au weebly.com
Hizo program ntazipata wap wakuu
si kweli , ni uamuzi tuu unaweza kutengeneza wonderfull website kwa wysiwyg. ina option ya HTML code. weebly.com ndio kituko kabisa maana hiyo ni kama blog.
Kaka Hichi ndio kinachomfunga paka kengele. hataki kuprocess code yoyote Xo Tatizo Lipo palepale. kutengeneza website Lazima ujue Auto generated code zimemaanisha nini.
i see people looking for a short-cut, learn how to code for christ's sake!