K kashakala Member Joined Nov 18, 2015 Posts 8 Reaction score 1 Nov 20, 2015 #41 Hahahahaaa mshahara km walim tu
winlicious JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,009 Reaction score 1,156 Nov 20, 2015 Thread starter #42 Mbishi 4 real said: Mtoa mada unazungumzia CRDB hii benki ya wachaga au kuna CRDB mpya imeanzishwa ? Click to expand... mi siyajui hayo
Mbishi 4 real said: Mtoa mada unazungumzia CRDB hii benki ya wachaga au kuna CRDB mpya imeanzishwa ? Click to expand... mi siyajui hayo
dingi01 Member Joined Oct 5, 2015 Posts 89 Reaction score 21 Nov 20, 2015 #43 winlicious said: Habari wakuu, nimeitwa kwenye interview tarehe 17 itafanyika CRDB BANK HOUSE MIKOCHENI,naomba mnielekeze nafikaje hapo Mimi natokea tabata kimanga. Nashukuru kwa msaada wenu maana kuuliza si ujinga Click to expand... Panda gari za mbagala.? Utafika mpaka benk ya crdb hapo....
winlicious said: Habari wakuu, nimeitwa kwenye interview tarehe 17 itafanyika CRDB BANK HOUSE MIKOCHENI,naomba mnielekeze nafikaje hapo Mimi natokea tabata kimanga. Nashukuru kwa msaada wenu maana kuuliza si ujinga Click to expand... Panda gari za mbagala.? Utafika mpaka benk ya crdb hapo....
winlicious JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,009 Reaction score 1,156 Nov 20, 2015 Thread starter #44 dingi01 said: Panda gari za mbagala.? Utafika mpaka benk ya crdb hapo.... Click to expand... kalale uendelee kuota
dingi01 said: Panda gari za mbagala.? Utafika mpaka benk ya crdb hapo.... Click to expand... kalale uendelee kuota
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,984 Reaction score 11,794 Nov 20, 2015 #45 nimechafukwa said: Ivi na dtb wanalipaga shs ngp maana kuna rafiki yangu apo mpka sasa ivi ameshindwa kununua kitanda. . Click to expand... Acha majungu wewe.
nimechafukwa said: Ivi na dtb wanalipaga shs ngp maana kuna rafiki yangu apo mpka sasa ivi ameshindwa kununua kitanda. . Click to expand... Acha majungu wewe.
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,509 Nov 21, 2015 #46 Sijawah kuvutiwa na kazi za benk,sijui kwa nini!
winlicious JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,009 Reaction score 1,156 Nov 21, 2015 Thread starter #47 tang'ana said: Sijawah kuvutiwa na kazi za benk,sijui kwa nini! Click to expand... si lazima uvutiwe na kila kitu
tang'ana said: Sijawah kuvutiwa na kazi za benk,sijui kwa nini! Click to expand... si lazima uvutiwe na kila kitu
G GOD 66 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 628 Reaction score 270 Nov 21, 2015 #48 tang'ana said: Sijawah kuvutiwa na kazi za benk,sijui kwa nini! Click to expand... mbna kuna mtu al ku quote kuwa unapga mzgo crdb
tang'ana said: Sijawah kuvutiwa na kazi za benk,sijui kwa nini! Click to expand... mbna kuna mtu al ku quote kuwa unapga mzgo crdb
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,509 Nov 21, 2015 #49 GOD 66 said: mbna kuna mtu al ku quote kuwa unapga mzgo crdb Click to expand... hapana labda umetufananisha mkuu..me ni mlinzi.
GOD 66 said: mbna kuna mtu al ku quote kuwa unapga mzgo crdb Click to expand... hapana labda umetufananisha mkuu..me ni mlinzi.
bukoba04 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 1,402 Reaction score 1,293 Nov 21, 2015 #50 tang'ana said: Sijawah kuvutiwa na kazi za benk,sijui kwa nini! Click to expand... tha same to me ase mkuu, ingawa sina kazi pia binafs sijawahi kuvutiwa na kazi benk
tang'ana said: Sijawah kuvutiwa na kazi za benk,sijui kwa nini! Click to expand... tha same to me ase mkuu, ingawa sina kazi pia binafs sijawahi kuvutiwa na kazi benk
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Mar 10, 2018 #51 winlicious said: una uhakika sikuwashirikisha au umejisikia tu kuropoka?kafie mbali huko Click to expand...
winlicious said: una uhakika sikuwashirikisha au umejisikia tu kuropoka?kafie mbali huko Click to expand...
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,721 Reaction score 25,516 Mar 11, 2018 #52 nimechafukwa said: Ivi na dtb wanalipaga shs ngp maana kuna rafiki yangu apo mpka sasa ivi ameshindwa kununua kitanda. . Click to expand... kuna x wife wangu anafanya hapo,wanapewa take home ya 500k na kila jmosi wanapewa weekend allowance elfu 50.
nimechafukwa said: Ivi na dtb wanalipaga shs ngp maana kuna rafiki yangu apo mpka sasa ivi ameshindwa kununua kitanda. . Click to expand... kuna x wife wangu anafanya hapo,wanapewa take home ya 500k na kila jmosi wanapewa weekend allowance elfu 50.
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 9,288 Reaction score 13,725 Mar 11, 2018 #53 kyagata said: kuna x wife wangu anafanya hapo,wanapewa take home ya 500k na kila jmosi wanapewa weekend allowance elfu 50. Click to expand... Wanaishije hapa Mjini na Umaridadi wao? Lakini sidhani kama ni Kweli.
kyagata said: kuna x wife wangu anafanya hapo,wanapewa take home ya 500k na kila jmosi wanapewa weekend allowance elfu 50. Click to expand... Wanaishije hapa Mjini na Umaridadi wao? Lakini sidhani kama ni Kweli.
gijos JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 1,183 Reaction score 1,831 Mar 11, 2018 #54 Had hapo bado hamjanizidi mimi mwanajeshi nilieishia 4m 4
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,721 Reaction score 25,516 Mar 11, 2018 #55 Troll JF said: Wanaishije hapa Mjini na Umaridadi wao? Lakini sidhani kama ni Kweli. Click to expand... ni kweli mkuu..sema umaridadi unaficha shida za mtu
Troll JF said: Wanaishije hapa Mjini na Umaridadi wao? Lakini sidhani kama ni Kweli. Click to expand... ni kweli mkuu..sema umaridadi unaficha shida za mtu
N narumuk JF-Expert Member Joined Feb 10, 2018 Posts 2,965 Reaction score 3,592 Jun 29, 2024 #56 winlicious said: si lazima uvutiwe na kila kitu Click to expand... Kazi ulipata?
winlicious JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,009 Reaction score 1,156 Jul 2, 2024 Thread starter #57 narumuk said: Kazi ulipata? Click to expand... Hapana nipo sehemu nyingine