winlicious
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,009
- 1,158
Habari wakuu, nimeitwa kwenye interview tarehe 17 itafanyika CRDB BANK HOUSE MIKOCHENI,naomba mnielekeze nafikaje hapo Mimi natokea tabata kimanga. Nashukuru kwa msaada wenu maana kuuliza si ujinga
bila kuwa na jina la mushi, kimaro, massawe kupenya ni shida
Panda gari zozote zinapitia njia ya mlimani city alafu mwenge ,shuka kituo cha itv alafu chukua bajaji mwambie akupeleke sio mbali na hapo
Walivyotangaza mbona hukuwashirikisha wenzio?
Mkuu izo zilikuwa post gan, mana sijawai ona hii bank wametangaza kazi
bila kuwa na jina la mushi, kimaro, massawe kupenya ni shida
hio ni take home au?Wanalipa laki 9
Mshahara in siri yako na mwaajiri acha kuropoka