CRDB Tawi la Chanika mmeniibia

CRDB Tawi la Chanika mmeniibia

komoakomesha

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
285
Reaction score
407
Mnamo mwezi wa pili (tarehe siikumbuki) nilienda kutoa pesa Tawi la CRDB Chanika Mwisho kiasi cha milioni mbili. Basi baada ya kukaa foleni kwa muda mlefu nikafika dirishani, huku nje madalali wananisubiri nikalipie kiwanja kata ya Yondwe.

Kilichonikuta sitosahau. Kwanza yule dada anayenihudumia alikuwa amenuna sana pale kidirishani; namkumbuka alikua mweusi, akanipatia 5,000 tupu kiasi cha milioni mbili, mzigo huo. Nikamwambia anipe 10,000 akakataa.

Basi nikaona uvivu kuhesabu, kumbe dada kanipiga 20,000 kwenye ile pesa; kufika kule kwa mtendaji, 20,000 haipo.

Hawa wahudumu wa benki sio waaminifu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
taratibu zinasema hesabu pesa zako kabla ya kuondoka counter.......sijui kwa lugha ya malikia wanaandikaje.......sasa tutakuamini vip kama zilikuwa pungufu au unataka kumualibia Dada wa watu...... au mkuu pesa zimeishaa niniii. kapige nyungu mkuu
 
Iliniuma sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole siku ingine mwambie ahesabu kwenye mashine ile screen ya mashine ikiwa imegeukia usawa ambao unaona, hatakataa!

Ni kweli ni jukumu lako kuhesabu, ila itakua matumizi mabaya na kutokutumia tech wakati kuna mashine uanze kuhesabu vinoti kwa mkono hadi umalize.

Mimi natumia hiyo ya kumwambia heaabu hapo kwenye mashine na sijawahi kulizwa.
 
Haiwezekani nipokee hela bila kuhesabu [NEVER - JPM]. Hata wakati niko mdogo, baba alipokuwa ananipa karo ya shule nilikuwa nahesabu mbele yake bila kuondoka. Sembuse mtu nisiyemfahamu? Hata nikichukuwa milioni 300 lazima nihesabu. Nitaomba zihesabiwe katika mashine ya benki wakati naangalia. NEVER!
 
Mnamo mwezi wa pili (tarehe siikumbuki) nilienda kutoa pesa Tawi la CRDB Chanika Mwisho kiasi cha milioni mbili. Basi baada ya kukaa foleni kwa muda mlefu nikafika dilishani, huku nje madalali wananisubiri nikalipie kiwanja kata ya Yondwe.

Kilichonikuta sitosahau. Kwanza yule dada anayenihudumia alikuw amenuna sana pale kidirishani; namkumbuka alikua mweusi, akanipatia 5000 tupu kiasi cha milioni mbili, mzigo huo. Nikamwambia anipe 10000 akakataa.

Basi nikaona uvivu kuhesabu, kumbe dada kanipiga 20000 kwenye ile pesa; kufika kule kwa mtendaji, 20000 haipo.

Hawa wahudumu wa benki sio waaminifu, mnisamehe jamani kwa uandishi wangu mbovu. Si mnajua shule zetu kayumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Hela ulihesabu vibaya cause ml.2 Kwa buku 5 tano NI rahisi mno kukosea hesabu.

2. Mtendaji ndo alikupiga hiyo hela
 
taratibu zinasema hesabu pesa zako kabla ya kuondoka counter.......sijui kwa lugha ya malikia wanaandikaje.......sasa tutakuamini vip kama zilikuwa pungufu au unataka kumualibia Dada wa watu...... au mkuu pesa zimeishaa niniii. kapige nyungu mkuu
Kiukweli kabisa madalali walikua wanasumbua sana kwa kupiga simu nikaona Hadi nihesabu itakua nachelewa nikaondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wahudumu wa benki hua wakiona mtu anatoa kiwango kikubwa cha pesa wanatumia kama chance ya kuiba sababu wanajua sio rahisi kwa mtu kuhesabu noti let say za 5,000 kwa amount kama yako ya 2m
 
Mnamo mwezi wa pili (tarehe siikumbuki) nilienda kutoa pesa Tawi la CRDB Chanika Mwisho kiasi cha milioni mbili. Basi baada ya kukaa foleni kwa muda mlefu nikafika dilishani, huku nje madalali wananisubiri nikalipie kiwanja kata ya Yondwe.

Kilichonikuta sitosahau. Kwanza yule dada anayenihudumia alikuw amenuna sana pale kidirishani; namkumbuka alikua mweusi, akanipatia 5000 tupu kiasi cha milioni mbili, mzigo huo. Nikamwambia anipe 10000 akakataa.

Basi nikaona uvivu kuhesabu, kumbe dada kanipiga 20000 kwenye ile pesa; kufika kule kwa mtendaji, 20000 haipo.

Hawa wahudumu wa benki sio waaminifu, mnisamehe jamani kwa uandishi wangu mbovu. Si mnajua shule zetu kayumba?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mama yangu amewahi kuibiwa na cashier wa NMB magomeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
taratibu zinasema hesabu pesa zako kabla ya kuondoka counter.......sijui kwa lugha ya malikia wanaandikaje.......sasa tutakuamini vip kama zilikuwa pungufu au unataka kumualibia Dada wa watu...... au mkuu pesa zimeishaa niniii. kapige nyungu mkuu
Mkuu hivi kwa yale mazingira ya bank unaweza kukaa Counter ukahesabu hizo elfu tano tano mpaka zifike mfano milioni 4. Huku kuna kuna msululu wa watu umekaa nyuma wanakusubiri ?
 
Back
Top Bottom