CRDB siyo Salama kwa Hela zetu

Mi nadhani la muhimu ni kuacha kutumia benk nyingine kutoa pesa.... Pale ndipo matatizo yanapoanzia....
Tatizo benki nyingine atm mpaka uende mjini, km haa stanbic atlest sasa hivi wameweka pale sinza mori, big bon petrol station
 
Mvumbuzi haupo peke yako, nilitumiao atm ya crdb mlimani city kutoa km kilo nane na nusu, hiyo ilikuwa tar 26 mwezi huu, benki yangu ni stanbic. Tar 30 nikachukua statement pale sinza mori kuna atm mpya ya stanbic nikakuta kilo na nusu imetolewa tena inaonesha kwa visa card lkn tar 28/11 nimelog complain kwa Stanbic nasubiri 48hrs wanipe jibu. Kuna jamaa yangu wa karibu na yeye alipiwa milioni moja kwa visa card hivyo hivyo na yeye ni mteja wa stanbic lkn alitolea nbc. Kuna jamaa wanaiba kupitia vijikamera vidogo wanavibandika pembeni ya atm mkiweka password vinanasa jipni jamaa wanakusanya wanaanza kazi ya kupiga mshiko

Kama hali ndio hiyo na CRDB hawachukui hatua yoyote basi wanajua kinachoendelea na kwa namna moja wanahusika moja kwa moja. Kuna watu hawana utamaduni wa Kuprint statements na ndo wanaibiwa sana. CRDB wanajua kabisa kuna FAILURE kubwa ya Security system ya fedha Za wateja wenye ATM card ila hawataki kusema wakiogopa kukimbiwa na customer. Inabidi wateja wajue wachukue hatua Za kulinda fedha zao wenyewe.
 
Tatizo watanzania wengi wanafanana akili na rais wao hawapendi kusoma, hivi yale masharti ya ufunguaji wa akaunti huwa mnayasoma au unasaini tu kama JK alivyokuwa anasaini ile mikataba kumi na saba ya wachina bila kujua kilichomo. Kesho nenda kaombe yale masharti usome ndio uje hapa tuongee.

Hata kama hatukusoma na kuelewa ndo watuibie hela zetu
 
Jaman ,mimi nlwah kuwafanyia kaz za ufunguz wa akaunt,tulkua na wenzangu tukawafungulia akaunt 2398(active) kwa wiki moja,kwny jua kal dodoma,huwez amin ushndan uliokuwepo,lkn huwez kubal is this bank that listens hatukulpwa,...zaid ya chakula only out of agreement baadh ya yetu waliikataa..jaman hv wachumi account moja n sh.ngap na tawi moja lakawaida lnaweza kufungua acc.kwa mwaka?samahan kama nko nje ya maada ila nakumbuka machungu nkiona jna hlo huwa nnashtuka
 
Pia kuna charges ambazo sio za kawaida hadi kufikia TSh 4,000 hulatwa na benki hii mara kwa mara ndani ya mwezi

Mm wali wahi kunikata Tshs 4000 mara 3 kwa mwezi 1 na kila nusu mwaka eti Tshs 4000 kama ATM Card fee, nikawalima barua waache upuuzi wakuchezea A/C zetu. Sijachukua statement, kwani ni mwezi mmoja tu tangia waniletee huo upuuzi wao.

Nawasikilizia miezi 3 naibuka tena.
 
ninachojua ni kwamba CRDB ndiyo benki makini kuliko zote nchini na NMB ndiyo benki inayoongoza kwa kukwapua fedha za wateja. kama crdb nao wameanza mchezo huu, sijui tutakimbilia wapi. kwa wale wateja wenye pesa nyingi na wanaofanya deposits na withdraws mara kwa mara, huwa wanaibiwa sana. kuweni makini na akaunti zenu wadau.
 
pole sana ila crdb wapo makini sana ukifuatilia bila kukata tamaa tatizo lako watalitatua,ni vema ukawasiliana na mkrugenzi.
 
Ukijiunga na simbanking inakuwa rahisi kuku alert Kama kuna transaction imefanyika kwa account yako via ATM na teller hawezi toa bila sahihi yako na ikitokea katoa itajulikana teller yupi na branch ipi ndugu jaribu kujiunga na simbanking ili kuwa jirani na account yako sababu unaweza check mini statement balance transfer na hata transaction
 
Haki ya mtu haipotei. Nilikuwa na issue na CRDB nilijaribu kutoa hela nikiwa nje ya nchi kwa kutumia Mastercard bank, bahati mbaya sikupata hela kutoka kwenye ATM lakini ilitoka kwenye account yangu tena itatoka mara mbili. Nilijaza form yao ya ATM Non-cash Dispensing complains form. Hii ilikuwa ni mwezi wa kwanza mwaka huu. Hii issue imeenda nikalalamika branch mpaka makao makuu, ni juzi tu jumamosi hela yangu imeweza kurudi zaidi ya 2.5m sikuamini kama nimeipata kwani nilisumbuka nayo sana.
 
Tatizo watanzania wengi wanafanana akili na rais wao hawapendi kusoma, hivi yale masharti ya ufunguaji wa akaunti huwa mnayasoma au unasaini tu kama JK alivyokuwa anasaini ile mikataba kumi na saba ya wachina bila kujua kilichomo. Kesho nenda kaombe yale masharti usome ndio uje hapa tuongee.

Unataka kusema kwenye fine print kuna mahala panaruhusu uchomolewe buku50 daily bila taarifa?
 
Sema cha ukweli CRDB wana makato kidogo kidogo.... mimi nimehama long time.
 
pole sana ila crdb wapo makini sana ukifuatilia bila kukata tamaa tatizo lako watalitatua,ni vema ukawasiliana na mkrugenzi.

Kwa nini nifuatilie muda mrefu wakati inahitajika reaction ya haraka mteja anapoomba ku block akaunti kuepuka kuendelea kuibiwa. Huduma ya ku block akaunti siyo rahisi CRDB kwani inaonyesha mpokeaji wa simu ni mmoja na inabidi labda apokee baada ya kuhakikisha hela zimeshaibiwa zote kwenye akaunti
 
Je huwa unaprint mini statement na kuangalia salio lako la CRDB mara kwa mara hasa kupitia VISA CARD? Kama hufanyi hivyo ujue kuna uwezekano mkubwa unaibiwa bila kujua na unaibiwa kidogo kidogo ili usishtuke na hiyo ndo strategy inayotumika.
Fedha zetu zilizoko kwenye akaunti katika benki ya CRDB sasa zinaibiwa kirahisi kidogo kidogo kutokana na kudorora kwa Security System ya kuzuia access ya watu wengine kwenye akaunti zetu kupitia VISA CARD. Mimi ni muathirika mmojawapo kati ya wengi waliopatwa na mkasa huu ingawaje wengi au hawasemi au hawajagundua tatizo hili.
Nilicheki balance yangu kwa njia ya ATM card ikawa inaonyesha fedha inatoka kupitia VIsa card na mini statement ikaonyesha kila siku fedha kiasi cha shs 50,000 inatoka na hata nilipocheki balance nikatoa kadi fedha ikaonyesha imetoka wakati huo huo ingawaje sikuchua hata senti tano.
Nilikwenda customer care siku mbili mfululizo kuwaeleza hili tatizo na hawakunisaidia chochote zaidi ya unprofessional porojo.
Then nikaomba wanisaidie ku block card yangu nayo ikawa kama nawasumbua kwani ushirikiano ukawa hakuna kabisa na badala yake wakanipa namba za simu za kupiga ambazo ni 0754557788, 0714197700 na 0789197700.
Nilipiga hizi namba zaidi ya mara 20 na ziliita bila kupokelewa hadi ninapoandika huu ujumbe.
Hii phenomenon imeniogopesha sana hasa ukizingatia aliyepewa dhamana ya kutunza fedha za watanzania i.e CRDB haonyeshi kujali hata kidogo kuhusu usalama wa fedha za wateja badala yake anaonyesha kila dalili ya uzembe, kushiwa mbinu na kukata tamaa ktk kuthibiti wizi wa fedha za wateja.

Madhara yake ni kwamba :
1. Mtu akijua pin yako ya ATM anaweza kuchota hela yote kwa muda mfupi bila kuweza ku block akaunti yako ambayo wenye uwezo wa kufanya hivyo ni wenye benki tu na siyo mteja. Kwa Bahati mbaya hii kwa CRDB siyo huduma ya DHARURA na ndiyo maana simu za ku block akaunti hazipokelewi!!!!
2. Kwa sasa ni rahisi ukivamiwa na majambazi wakachukua fedha yote within short time iwapo watafanikiwa kuipata kadi yako ya CRDB kwani hata siyo rahisi kui block
3.CRDB wanadai kuwa mimi ndio custodian wa akaunti yangu ilihali fedha ziko mikononi mwao na tafsiri ya maneno hayo ni dhahiri kuwa fedha zetu ziko HATARINI.

Hali kama hii inaanza kuleta maswali mengi kuhusu usalama wa hela zetu zilizoka benki ya CRDB.
Niyasemayo ni kweli na alert kwa wale mlioweka hela CRDB mkakague akaunti zenu mcheki balance usije ukajikuta umebaki empty kama mimi. Na wale customer care wakishaona hilo tatizo huwa wanajaribu kutoonyesha kushtuka ili lionekane dogo na kuepuka customer kuwa shocked.
Ukweli ndo huo na hata watu wasipoamini sas basi wajue siku si nyingi watajikuta wanalia.Hata waTZ walipoambiwa DECI inakufa hawakuamini na mimi natoa hii habari iwasaidie mkakague akaunti zenu yasije yakawapa yaliyonikuta hadi hapo CRDB watakapotuhakikishia kwa vitendo kuhusu security ya hela zetu kwa kufanya yafuatayo:

1. Huduma ya ku block akaunti ya mteja anapobaini tranactions zisizo za kawaida ziwe za dharura na zinazopatikana masaa 24
2.Kuzuia wizi wa kisirisiri unaofanywa kwenye akaunti za wateja.

Ninayeandika haya ni mwathirika na hii imenitokea kuanzia tarehe 21 hadi 27 November 2013 hapa Arusha na hadi naandika sijapata solution kwani hakuna mfanyakazi wa CRDB aliye tayari kusaidia kutatua tatizo langu bali kukwepa kwepa tu.

Duh.

Mimi niliwaandikia email watu kadhaa kwenye contact list yao, hakuna aliyenijibu.
 
I wish it was me maana ningetengeneza mkwanja ! Ilinitokea na niliwaandikia barua kali nikiwapa wiki moja wawe wamerudisha pesa yangu yote otherwise niwafikishe mahakamani. Waliirudisha within 3 days!
 
Jichunguze huenda mkeo kakuzidi maujanja. Kikulacho ki nguoni mwako. mie nafaidi mpesa ya mume wangu najitumia pesa kisha nadelete mesage. ukifanikisha uchunguzi tujuze
 
Back
Top Bottom