CRDB siyo Salama kwa Hela zetu

Jichunguze huenda mkeo kakuzidi maujanja. Kikulacho ki nguoni mwako. mie nafaidi mpesa ya mume wangu najitumia pesa kisha nadelete mesage. ukifanikisha uchunguzi tujuze

Wee sio wote wameoa machangudoa tena koma kumtaja mke wangu humu kama una tabia hizo sio wanawake wote. mke wangu ni mstaarabu ameenda shule na ni highly paid hawezi ku temper na huu ujinga hapa. Kadi zetu wote huwa zina hela na wala hazifichwi na nikitaka nachukua kwake na akitaka huchukua kwangu ndivyo tunavyoishi miaka yote iweje Nov 2013 aanze wizi.
May be wewe ndo wale wale ambao mnatuibia huko CRDB mnatoa comments za kimipasho wakati sisi tunajadili serious issue.
 
Pole sana mdau kwa yaliyokufika mimi niliwahi kutokewa na hilo tatizo la ATM kutoa kadi bila cash unasikia kabisa hela zinahesabiwa lakini hazitoki lakini nilipopiga number iliyo juu ya ATM za CRDB walinihakikishia kuwa hela hazijatoka nikashauriwa kwenda kwenye ATM nyingine kuangalia salio kwa uhakika zaidi na hela kweli hazikutoka .Tatizo la ATM ni zote hapa nchini na sii CRDB tuu EXIM mlimani city nilipoteza elfu 80,000/= mpaka leo sijawahi kuzipata nililalamika kwao wakasema zitarudi toka Mastercard ndani ya siku 45 mpaka leo ni miezi sita. Nadhani mambenki YETU Tanzania waborehse mitandao yao ya VISA / Mastercard zaidi.
 
mimi nilikuwa natoa hela kwenye cm banking kwenye kuchagua option ya account number nikakuta zimetokea namba 2 ,moja ya kwangu na nyingine siijui so nilikuwa na uwezo kuhamisha pesa ya yote ya huyo jamaa lakini nikaamua nikawaeleze crdb hilo tatizo
 
mimi nilikuwa natoa hela kwenye cm banking kwenye kuchagua option ya account number nikakuta zimetokea namba 2 ,moja ya kwangu na nyingine siijui so nilikuwa na uwezo kuhamisha pesa ya yote ya huyo jamaa lakini nikaamua nikawaeleze crdb hilo tatizo

Ebooooo hii mitandao nayo ina wazimu, mbona bahati kama hizo hazijitokezi kwetu sie wahuni tuzibunye hizo fedha.

jamani mabenkieee koseeni basi hata kwa bahati mbaya pesa ipitie kwenye kijiakaunti changu hata cha tigo pesa tu niwaoneshe mtoto wa kiswahili nilivyo na njaa kali.
 
Ebooooo hii mitandao nayo ina wazimu, mbona bahati kama hizo hazijitokezi kwetu sie wahuni tuzibunye hizo fedha.

jamani mabenkieee koseeni basi hata kwa bahati mbaya pesa ipitie kwenye kijiakaunti changu hata cha tigo pesa tu niwaoneshe mtoto wa kiswahili nilivyo na njaa kali.

Sahau. ...
 
Mimi nahisi ni watumishi wa CRDB, baada ya kupata MasterCard nikawa mvivu wa kulipia kwa cash, kuna kipindi nikapita Nairobi nikalipia hotel, na supermarket nikasugua card, Bahati nzuri kila zikitoka unajulishwa baada ya dakika kama 5 hadi 10. nikaelekea Mombasa kufika airport tu, napata meseji kuwa nimetoa hela Nairobi ATM, kufika hotel nikasugua tena, nafika chumbani si nakuta meseji 2 kutoka CRDB moja ya malipo ya hotel na nyingine nimetoa hela ATM Mombasa, nikachoka. Nilipiga simu zote zilizo kwenye mtandao wa CRDB hadi za mikoanii, sikujibiwa. Nilipofika nyumbani nikaamua kwenda CRDB Branch ya Dar Sio Hq nilikochukulia MasterCard .nikaomba statement nikakuta kweli zimetoka. Nikawaonyesha risiti na boarding pass, kilichonishangaza jinsi nilivyorudishiwa hela immediate, kama vile kufuta maandishi ya pencil na kuandika figure nyingine. Nikajiuliza kama hela zimechukuliwa na mtu mwingine wao za kunirudishia wanazitoa WAPI? nikachoka.

Sikukoma sasa hivi niko Abu Dhabi, nikitokea Dubai nilikuwa nimefanya manunuzi kwa kadi, nimeshaona maluweluwe Mengi tu kwa kuwa Nina akiba ya Cash nasubiri nione mwisho wake maana inabidi hela zilizo kwenye kadi nizimalize kabla hawajaniwahi wajanja, na hii ni nje ya bajeti yangu. Kwa kweli ni mtihani. Bahati nzuri hela za matumizi ya kawaida natumia za bank ya Posta nahamishia M pesa. kwa kweli ni kasheshe. Labda tujaribu NBC.
 
Pole sana. Ila maeleso yako yanaonyesha kuna mtu ana pin yako. Kwa vile una kadi hatua ya nyingine ni kubadili passwrd. Pili nenda tawi lolote uwaeleze hilo tatizo watakusaidia hawapo wakorofi hivyo. Tatu subscrbe to sms banking uwe una pata msg na uweze kucheck na bal. mara kwa mara. Kumbuka kama umetoa kwa visa mara nyingine huchelewa ku post transactions hata kwa siku mbili kutegemea na benki yenye hiyo atm.
 
Back
Top Bottom