Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,211
Nimeona washikaji wangu wako jeshi la magereza na nida wao wanapata. Inaonekana bado wanaitest kwa baadhi ya taasisi. Nikapiga customer care wakanambia taasis yangu haijafikiwa....kwamba watatuma meseji ikiwa tayari.Mbona Mimi nimejaribu kukopa naambiwa hawajaniunga????
Kuna aliyejaribu kukopa humu ndani na akafanikiwa????
Maana tusijetukawa tunatoa pongezi zisizo na uhalali
Basi watakuwa wameànza na watu wa SerikaliniNimeona washikaji wangu wako jeshi la magereza na nida wao wanapata. Inaonekana bado wanaitest kwa baadhi ya taasisi. Nikapiga customer care wakanambia taasis yangu haijafikiwa....kwamba watatuma meseji ikiwa tayari.
But it works bana...!
Halafu MTU anapiga hesabu za mwaka wakati kaambiwa salary advance, hv kuna salary inayotoka baada ya mwaka?Naomba kujua je ni lazima mtu ukope mwaka mzimaa?! Mbona umefanya assuption ya mwaka wakati ni mkopo ni wa mwez mmoja?! Sijaelewa hapo
Mbona Mimi nimejaribu kukopa naambiwa hawajaniunga????
Kuna aliyejaribu kukopa humu ndani na akafanikiwa????
Maana tusijetukawa tunatoa pongezi zisizo na uhalali
Hapana wewe si mtaalamu wa pesa; hapa ni kwamba kila mwezi utakuwa kwenye Overdraft ya laki tano maana unachukua na kurudisha na kuchukua tena hivyo mkopo utakuwa 500,000 "throughtout the year" ambao utalipia TZS 300,000 kwa kipindi chote cha miezi kumi na mbili. Pia ieleweke mkopo huu wa dharua huchukulia ndani ya mwezi mmoja na mishahara hutoka kwenye tarehe ya ishirini (20) hivyo kwa wastani utakuwa unakaa na hii pesa kwa nusu mwezi hivyo basi, faidi unayilipa kwa mwaka ni TZS 300,000/500,000 /0.5 = 120%.Mkuu hesabu zako ni za uongo..umesahau kila mwezi utakuwa unachukua 500,000 ambayo mwaka mzima utakuwa umechukua(500,000*12=6,000,000) kwa riba ya 300,000.
ndio maana ya salary advance !Kwa hiyo hii inalipwa ndani ya mwezi husika???
Afadhali sasa niachane na TIMIZA. Hawa ni Shylock😉!!Crdb Salary advance......ni mkopo kwa wafanyakazi wanaopitishia mishahara crdb na pia wamejiunga na simbanking.
.
Riba ya mkopo ni asilimia 5. Mfano kwa mkopo tzs 100,000 riba yake ni tzs 5,000 tu.
Riba inatozwa upfront.
Jaribu namna mpya ya kusukuma mwezi!
Mimi pia wamesema huduma haijaanza kutolewa nisubirie itaanza hivi karibuni. Nilijaribisha tsh 50,000 tu.Mbona Mimi nimejaribu kukopa naambiwa hawajaniunga????
Kuna aliyejaribu kukopa humu ndani na akafanikiwa????
Maana tusijetukawa tunatoa pongezi zisizo na uhalali
Mh? Kwa NMB BANKHuko CRDB wako wachache, ila huku NMB tuko shazi nawata piga hela
Jamaaa umenichekesha sana....! Huko hata mie wanainiulizia niliko.....Tala na Branch wanataka kunifunga sijawalipa, na nyie tena?!!!
Jamaa wanasumbua, bahat nzur nlihama majuz apa. Wameshampa details zangu Mufilisi wao, ananitafta. Nafukuzana nao kwel kwel, siku wakinipata sjui tu.Jamaaa umenichekesha sana....! Huko hata mie wanainiulizia niliko.....
Baado...naona wanaivutia upepo....! Hawaelewi vyuma vimekazaaaJamaa wanasumbua, bahat nzur nlihama majuz apa. Wameshampa details zangu Mufilisi wao, ananitafta. Nafukuzana nao kwel kwel, siku wakinipata sjui tu.
Sa tunafanyaje mkuu, we hawajakuona...??