Mkuu ukiwa unachukua salary advance ya TZS 500,000 ili ukatwe mwisho mwezi na ukafanya hivyo kila mwezi kwa miezi 12 utailipa benki jumla ya TZS 300,000 (TZS 25,000 X 12) hiyo ni sawa na 60% (yaani TZS 300,000/500,000)Wewe ni wale walioenda shule kusomea ujinga, ushaambiwa mkopo unalipwa ndani ya mwezi husika, hayo ya mwaka yametoka wapi?
Marketing mbn inajielezaMtoa mada upo kitengo gani hapo CRDB
Kwann ufanye hivo??!Mkuu ukiwa unachukua salary advance ya TZS 500,000 ili ukatwe mwisho mwezi na ukafanya hivyo kila mwezi kwa miezi 12 utailipa benki jumla ya TZS 300,000 (TZS 25,000 X 12) hiyo ni sawa na 60% (yaani TZS 300,000/500,000)
Wanaona aibu kuigiliziahivi huyu wa NMB hawezi ku copy huo Ubunifu?
Kwenye ulimwengu wa kusaka noti...hakunaga kitu kinaitwa aibu.Wanaona aibu kuigilizia
ushafulia tayari..loljana niliiona kwenye menu ya simbanking lakini nilipoijaribu ikasema "coming soon". hiyo soon ni lini kwani?
jana niliiona kwenye menu ya simbanking lakini nilipoijaribu ikasema "coming soon". hiyo soon ni lini kwani?
hahahaha mkuu acha tu ....nimeona hapo awali nikaganda kidogo hizo hesabu nikajiuliza hivi nimepitwa na mabadiliko ya uchumi in reality au watu wamevurugwa tu..Bado naamini CRBD ni bank bora kuwahi kutokea Tz, anzia kwenye swala la ATM, Customer service week na mengine yani they lead bank nyingine zina follow. Pia huu mkopo unakatwa ndani ya mwezi husika, nashangaa kuona mtu anapiga hesabu za mwaka mzima (ndio maana kuna mtu huwa anawauliza huko shule mlienda kusomea ujinga). Anyway shout out to CRBD.
Hapana mkuu bado nna salio. Nilikuwa natest tu ili niione huduma kama ni real. Sio siku umepata dharura unaitegemea halafu unakutana na jibu 'huduma inakujia karibuni'ushafulia tayari..lol
Huu mkopo unalipwa kwa mwezi husika sasa kama wewe utaamua kuwa unakopa kila mwezi hiyo ni juu yako.Mkuu ukiwa unachukua salary advance ya TZS 500,000 ili ukatwe mwisho mwezi na ukafanya hivyo kila mwezi kwa miezi 12 utailipa benki jumla ya TZS 300,000 (TZS 25,000 X 12) hiyo ni sawa na 60% (yaani TZS 300,000/500,000)
Well done!Crdb Salary advance......ni mkopo kwa wafanyakazi wanaopitishia mishahara crdb na pia wamejiunga na simbanking.
Kiwango cha chini cha mkopo ni Tzs 50,000 na kiwango cha juu ni tzs 1,000,000.
Ili kuomba mkopo ingia simbanking...kisha chagua namba 6. Inachukua dakika tatu kupokea mkopo wako. Fedha inaingizwa kwenye account yako ya mshahara.
Mkopo utalipwa kutoka kwenye mshahara wako unaofuata.
Riba ya mkopo ni asilimia 5. Mfano kwa mkopo tzs 100,000 riba yake ni tzs 5,000 tu.
Riba inatozwa upfront.
Jaribu namna mpya ya kusukuma mwezi!
Hata ikiwa atakopa kila mwezi uwiano utakuwa 300000/6000000Huu mkopo unalipwa kwa mwezi husika sasa kama wewe utaamua kuwa unakopa kila mwezi hiyo ni juu yako.
Apa kwa mwezi lazima CRDB ikombe pesa za walimu wengi sana...jamaa wanabuni mbinu za kufilisi watu tu....heheheee big up sana , jamaa wameiva kwenye taaluma zao
Akopi asee, Maana watu watahamishia Mshahara CRDBhivi huyu wa NMB hawezi ku copy huo Ubunifu?
Chipengele kipi....maana mie hapa ulafi ushanijaaa
Ndio chaguo langu CRDB.Bado naamini CRBD ni bank bora kuwahi kutokea Tz, anzia kwenye swala la ATM, Customer service week na mengine yani they lead bank nyingine zina follow. Pia huu mkopo unakatwa ndani ya mwezi husika, nashangaa kuona mtu anapiga hesabu za mwaka mzima (ndio maana kuna mtu huwa anawauliza huko shule mlienda kusomea ujinga). Anyway shout out to CRBD.
Mkuu hesabu zako ni za uongo..umesahau kila mwezi utakuwa unachukua 500,000 ambayo mwaka mzima utakuwa umechukua(500,000*12=6,000,000) kwa riba ya 300,000.Mkuu ukiwa unachukua salary advance ya TZS 500,000 ili ukatwe mwisho mwezi na ukafanya hivyo kila mwezi kwa miezi 12 utailipa benki jumla ya TZS 300,000 (TZS 25,000 X 12) hiyo ni sawa na 60% (yaani TZS 300,000/500,000)