CRDB Salary Advance

CRDB Salary Advance

Teleshkova

Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
76
Reaction score
136
Crdb Salary advance......ni mkopo kwa wafanyakazi wanaopitishia mishahara crdb na pia wamejiunga na simbanking.

Kiwango cha chini cha mkopo ni Tzs 50,000 na kiwango cha juu ni tzs 1,000,000.

Ili kuomba mkopo ingia simbanking...kisha chagua namba 6. Inachukua dakika tatu kupokea mkopo wako. Fedha inaingizwa kwenye account yako ya mshahara.

Mkopo utalipwa kutoka kwenye mshahara wako unaofuata.

Riba ya mkopo ni asilimia 5. Mfano kwa mkopo tzs 100,000 riba yake ni tzs 5,000 tu.

Riba inatozwa upfront.

Jaribu namna mpya ya kusukuma mwezi!
 
Kwa hiyo hii inalipwa ndani ya mwezi husika???
 
Kimei mbunifu sana.. Hapa atawapata wateja wengi sana
 
Crdb Salary advance......ni mkopo kwa wafanyakazi wanaopitishia mishahara crdb na pia wamejiunga na simbanking.

Kiwango cha chini cha mkopo ni Tzs 50,000 na kiwango cha juu ni tzs 1,000,000.

Ili kuomba mkopo ingia simbanking...kisha chagua namba 6. Inachukua dakika tatu kupokea mkopo wako. Fedha inaingizwa kwenye account yako ya mshahara.

Mkopo utalipwa kutoka kwenye mshahara wako unaofuata.

Riba ya mkopo ni asilimia 5. Mfano kwa mkopo tzs 100,000 riba yake ni tzs 5,000 tu.

Riba inatozwa upfront.

Jaribu namna mpya ya kusukuma mwezi!
Mkuu...hakuna haja ya kusubmit salary sleep kwa badae?
 
Hakuna haja cha msingi uwe mtumishi wa serikalini na mshahara uwe unapitia CRDB..Unaruhusiwa kukopa mpka asilimia 50% ya take home yako ya mwez husika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom