CRDB huduma za Sim Banking zinatutesa wateja

Dupe

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
1,668
811
CRDB huduma za Sim banking zimekuwa kero wateja, unataka kitoa hela unajibiwa hauna fedha za kutosha wakati mtu salio unalo hii sio mara ya kwanza naona haya matatizo yenu sijui lini mutakuja kukaa sawa na system zenu hizo
 
Wanakera sana. Ukitaka kuitumia unaanza kusali sala ya Baba Yetu ili ukute inafanya kazi.

Ni jambo la kawaida sana kukuta haifanyi kazi hiyo huduma yao.

Pumba kabisa hawa.
 
Wanakera sana. Ukitaka kuitumia unaanza kusali sala ya Baba Yetu ili ukute inafanya kazi.

Ni jambo la kawaida sana kukuta haifanyi kazi hiyo huduma yao.

Pumba kabisa hawa.
Yani we acha tu mkuu yani saa nyingine unaharaka zako na eneo ulilopo haupati atm wala branch hawana unategea hii alafu inakuzingua tena
 
Back
Top Bottom