CRDB na fees zao...!?

Hapo sasa umemkuna Babu.....

Ubarikiwe sana CRDB wasijaribu tena kukuibia!!

Babu DC!!!

Kweli nimeshtuka, bora nirudi huku kwa makabwela NMB eti babu Dark City.

Ubarikiwe pia, najua bibi hawezi kuibiwa kirahisi hivyo. You love her right?
 
Kuliko ninavyoweza kueleza!!

Ila hawa watu wa banks usiwaamini kabisa...Hakuna cha NMB wala CRDB....wote ni wezi tu ila mtu analaumu wale waliomdondoshea kosovo!!

Babu DC!!
 
Bibi anafaidi sana.

Nimekuelewa babu kuhusu banks, sasa sijui itakuwaje mjukuu wako..
 
Mambo ya mabenki kwa Tanzania ni kama kucheza kamari...Unaweza kujaribu ila huwezi kuwa na uhakika kwamba hujaibiwa au hutaibiwa!!

Ni kama ku toss coin.
May be ni ku make sure unakuwa up to date na akiba yako at least kila mwezi.
 
Kuna benki nyingi zinaibuka sasa hivi,na hizi benk giants crdb,nbc na nyinginezo inabidi zijiandae,kuna benki inaitwa first national bank fnb,ni ya wasauzi hawa nao wako safi jaribuni kuwatembelea
 
nimewasikia hawa..naskia wana rates nzuri sana kwa fixed accounts, nimejiahidi kuwatatfuta na kuhamishia hela yangu yote huko. nimeudhika sana na CRDB, baada ya kufunga hesabu za mwaka nimeona kumbe faida yao ni 1.45%, hakyanani siezi vumilia hawa wapumbavu..kweli ni vizuri kutetea cha nyumbani lakini this is too much...liwalo na liwe.
 
Aisee hawa jamaa wa FNB wana rates za nguvu hasa. Naogopa tu isije ikawa kama wale jamaa wa Meridian Biao. Ila wanavutia kwa kweli hasa kwa upande wa akaunti za madafu ila za forex wako ghali.
 
Leo nilikuwa naperuzi account yangu ya CRDB through internet banking na nikashtuka kidogo na fees zao. Nimekutana na kitu kama ifuatavyo:

Monthly maintenance fee ........Tshs. 1,000
Card fee June ........................Tshs. 4,000 (hii transaction ya tarehe 9 July)
Card fee June ........................Tshs. 4,000 (hii transaction ya tarehe 13 July)
Withholding Tax .....................Tshs. 63.39

Nilikuwa sijanotice hivi vitax kwa muda na nashangaa kama huu ni utaratibu mpya. Kama wanamfanyia kila mteja namna hii, basi wanatengeneza faida ya hatari sana
Mkuu Consultant nakushauri tu kabla ya kuhukumu ni vizuri ukawaona utawala wa benki mkoa au tawi lako ukawasikia, pengine ni watumishi wahuni wachache hasa jamaa wa IT wanatumia taaluma zao vibaya kuibia wateja.

Mimi nilishasikia kwenye bank moja hapa nchini vijana fulani wa IT walishawahi kufukuzwa kazi kwa kuibia watu vile vichenji chenji, mfano mwenye akiba ya milioni kumi na kitu hawezi kujua wala kufuatilia ana mamia na maelfu mangapi, sasa hayo ndiyo huwa wanadili nayo aisee.
 
Hizo rate ni za mwezi au mwaka? Unanitisha mkubwa maana wenye vihera vya madafu sijavichungulia muda mrefu huko.
 
Leo nilikuwa naperuzi account yangu ya CRDB through internet banking na nikashtuka kidogo na fees zao. Nimekutana na kitu kama ifuatavyo:

Monthly maintenance fee ........Tshs. 1,000
Card fee June ........................Tshs. 4,000 (hii transaction ya tarehe 9 July)
Card fee June ........................Tshs. 4,000 (hii transaction ya tarehe 13 July)
Withholding Tax .....................Tshs. 63.39

Nilikuwa sijanotice hivi vitax kwa muda na nashangaa kama huu ni utaratibu mpya. Kama wanamfanyia kila mteja namna hii, basi wanatengeneza faida ya hatari sana

Fungua akaunt NBC. They have low fee. Card Master/visa it is free. No mothly fee for card holder only when u done transaction whch is 700. U can draw up to 25m for 1000. U have life insurance for every ac holder so when u die ur family get 0.5m. Cheap and easy to use. NBC...
 
Niliisusia CRDB kwa allmost 3 years mwezi uliopita niataiactive nikatupia 6000000 aisee wakakata 28000 na ushee leo nimezitoa zote nimewachia buku 4, nikazikimbiza EQUETY BANK wako vizuri na wanatoa mikopo sana kwa wajasilia mali.
 
toka nlipomalizachuo na bumu kukata sijawahi tumia hawa wapuuzi!!miaka 7 sasa
 
Wakuu,

Ninachofahamu ni kuwa, ukiwa unatumia internet banking charges kwa mwezi ni Tshs. 1000. Na card (VisaCard) fee ni Tshs. 8000 kwa mwaka. Kinyume na hapo watakuwa wamekuibia au wameanzisha utaratibu mpya ambao ni ghali sana na itabidi kuwakimbia fasta kwa kweli.

Hata mimi nilkuwa sijui makato ya hii BANK YAANI mUNGU AKINIJALIA MWEZI HUU NAWALIPA DENI LAO LOTE NA NAFUNGA ACCOUNT
NI WEZI AJABU
 
Back
Top Bottom