Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,889
- 2,215
Hii sheria wapi imeandikwa?Ndo utaratibu mpya ili kujua kama upo kwenye payrol wanakata kwanz ndpo upewe hela ni Benk zote nchini maagizo toka hazina vumilia utapewa tu hela yako
Hii sheria wapi imeandikwa?Ndo utaratibu mpya ili kujua kama upo kwenye payrol wanakata kwanz ndpo upewe hela ni Benk zote nchini maagizo toka hazina vumilia utapewa tu hela yako
Bank zote wako hivyo. Lengo lao kujihakikishia kuwa hawampi mtumishi hewa. Lkn inaaudhi usipime.Kuna Mtumishi wa umma aliomba mkopo bank ya CRDB amejikuta anaingia kwenye ATM, na kukuta amekatwa hela ya mkopo huku hela hiyo aliyoomba hajapewa, amewafuata CRDB wamemwambia watamuwekea tu, akawauliza ni lini wakamjibu mda wowote, sasa hiki kitendo ni wizi na uonevu mtu anaishije unamkata mkopo huku hujamuwekea kiasi alichoomba? Hebu CRDB tupeni ufafanuzi wa hili jambo.
Bila kumtaja jina na tawi husika ni majunguKuna Mtumishi wa umma aliomba mkopo bank ya CRDB amejikuta anaingia kwenye ATM, na kukuta amekatwa hela ya mkopo huku hela hiyo aliyoomba hajapewa, amewafuata CRDB wamemwambia watamuwekea tu, akawauliza ni lini wakamjibu mda wowote, sasa hiki kitendo ni wizi na uonevu mtu anaishije unamkata mkopo huku hujamuwekea kiasi alichoomba? Hebu CRDB tupeni ufafanuzi wa hili jambo.