CRDB kukata watu mikopo bila kutowapa hela ya mkopo ni unyanyasaji na wizi

Lengo lao ni kutaka kujua kama ni active employeee or not hata mimj walinifanyia hivyo ila the next month nilizikuta hela zote. Lengo lao ni kujiridhisha je kweli LAWSON inasomeka??? Si unajua suala la wafanyakazi hewa mkuuu bank zimekula hasara sana aiseee
 
Kuna Mtumishi wa umma aliomba mkopo bank ya CRDB amejikuta anaingia kwenye ATM, na kukuta amekatwa hela ya mkopo huku hela hiyo aliyoomba hajapewa, amewafuata CRDB wamemwambia watamuwekea tu, akawauliza ni lini wakamjibu mda wowote, sasa hiki kitendo ni wizi na uonevu mtu anaishije unamkata mkopo huku hujamuwekea kiasi alichoomba? Hebu CRDB tupeni ufafanuzi wa hili jambo.
Bank zote wako hivyo. Lengo lao kujihakikishia kuwa hawampi mtumishi hewa. Lkn inaaudhi usipime.

Tatizo hili nimekutana nalo boa bank, na kitu wanaita processing fee. Yaani ni wizi mtupu, sema njaa zetu ndo manufaa yao
 
Kuna Mtumishi wa umma aliomba mkopo bank ya CRDB amejikuta anaingia kwenye ATM, na kukuta amekatwa hela ya mkopo huku hela hiyo aliyoomba hajapewa, amewafuata CRDB wamemwambia watamuwekea tu, akawauliza ni lini wakamjibu mda wowote, sasa hiki kitendo ni wizi na uonevu mtu anaishije unamkata mkopo huku hujamuwekea kiasi alichoomba? Hebu CRDB tupeni ufafanuzi wa hili jambo.
Bila kumtaja jina na tawi husika ni majungu
 
ni zaidi ya mwaka mkuu na bado mchezo ndo ule ule wanafyeka kwanza alafu porojo za subiri subiri utaingia tu ndo zinafuata :) hakika benki zetu hatuwezi fungua hata matawi malawi tu au msumbiji hapa kwetu tunaona za wakenya tu mara equity mara KCB :D
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom