Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 1,788
- 2,668
Wake kwa Waume habari zenu.
Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo
Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia SIMBANKING APP pia haifanyi kazi, haiwezekani kuwithdraw pesa na cha kushangaza hata Transfer haiwezekani.
Leo nimetaka kufanya transfer at least kuhamisha pesa kwenda kwenye benki nyingine kumbe nako hola
Haya basi mie nkaamua kwenda nihudumiwe ndani, nako wamesema hawafungui mpaka wiki ijayo hivyo hakuna huduma
Sasa Hii benki yafaa kuitumia kwa hifadhi ya pesa tena?