Yani umu watu wazembe sana mpaka nimeenda kuulizia mwenyewe sasa ni 100USD Initial Deposit ya CRDB Bank USD Bank Account....
Mkuu kwanza kabisa nenda crdb waactivate card yako for online purchases itakuwa tayari after 24hrs, baada ya hapo ndio unafungua akaunti ya paypal hauwezi kufungua acc ya paypal bila crddb kuactivate card yako elewa hicho kitu kwanza,kuhusu acc ikae na sh ngapi inategemea unataka kununua kitu gn onlne,kama unataka kununua kitu cha dola 500 basi account yako isizidi sh laki 8 za kitanzannia coz hao paypal huwa wana currency convertor kutoka kiwango chochote cha fedha duniani,usiweke pesa nyingi kwenye acc yako kwa sababu hao wazungu wenyewe ni wajanja sana na unaposaini crdb kuhusu online shopping crdb hawatahusika na upotevu wa pesa kwenye acc so kuwa makini sana,nasema hivi coz mimi ni mtumiaji mzuri wa hii huduma ya online na najua mazuri na mabaya yake.
Habari Zenu,
Mimi ninataka kufungua CRDB Bank account ile nitumie kwajili ya online shopping..sasa nilikuwa ninauliza CRDB Initial Deposit ya USB Account ni shs ngapi?,,yani hela ya kianzio ya $ ya kimarekani ni shs ngapi? na pia Internet Banking kulipia CRDb shs Ngapi??na pia Visa Card unapewa baada ya siku ngapi?na pia ni shs ngapi Kulipia visa card..
Unataka kufungua hiyo acc ya us dollar kwa madhumuni gani? Kama ni onlne purchases sio lazima kuwa na acc hiyo coz kuna currency conveter inayobadili kutoka Tsh kwenda us dollar if you wan do purchasing onlineasante...sasa initial Deposit ya USD ac ni Dollar ngapi?
Unataka kufungua hiyo acc ya us dollar kwa madhumuni gani? Kama ni onlne purchases sio lazima kuwa na acc hiyo coz kuna currency conveter inayobadili kutoka Tsh kwenda us dollar if you wan do purchasing online
USD Account Opening balance for CRDB: 1. Saving Account - 20$ 2. Current Account - 100 $, all the time your account will not be allowed to operate below the above stated minimum balances. For new customers, CRDB VISA OR MASTER CARDS ARE FREE. Internet Banking charges are 1000 Tsh. per month(Other currencies i am uncertain/not sure). VISA/MASTER CARD inachukua muda wa wiki 2(other factors assumed to be constant).
mimi nimefanikiwa kuilink na paypal ila naona ebay ni wizi m2p. nilijarib kupurchase ki2 cha dola 2 stil ad leo cjapata mzigo. wengi ni ma fraud