Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,951
- 62,837
ww unatumia nn mkuu tuje huko kuhifadhi pesa zetubado mnatumia 'benki' tu ?
natumia 'kibubu' kwa coins na 'dari' kwa notes
Uko sahihi, namimi walinifanyia hvo, nikawatumia email wakanijbu hvLeo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala?
Halafu kibaya zaidi hawa jamaa hawawatangazii wateja wanapoweka fee hizo au kuziongeza
Kumiliki Kadi si ni sehemu ya huduma, ya Kibenki mbona mimi nikiweka pesa zangu manazizunguusha na kupiga mafaida kibao kwa kukopesha watu iweje huduma basic kama kadi mtutoze pesa zote hizo.
Ndugu wana JF mkipata muda chungulieni account zenu , ombeni na bank statement hawa jamaa wanakwangua hela ndefu wanayoita cardfee.
Jamaa wanashiriki kwenye kuyafanya maisha yetu yawe magumu!!
CRDB msitafute hela kiujanja!!!
Na usipokua na kadi kila ukienda kutoa pesa yako dirishani unalipia si chini ya 2000/=
Leo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala?

Hata mimi inanisumbua kuielewa hii kitu nini mantiki yake. Kwa sababu kila huduma ninayoihitaji nalipia. Kuweka fedha nalipia, kuchukuwa nalipia (iwe counter au ATM). Sasa haya makato ya card fee mimi nayaona kama 'naporwa' hivi!!!Leo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala?
Halafu kibaya zaidi hawa jamaa hawawatangazii wateja wanapoweka fee hizo au kuziongeza
Kumiliki Kadi si ni sehemu ya huduma, ya Kibenki mbona mimi nikiweka pesa zangu manazizunguusha na kupiga mafaida kibao kwa kukopesha watu iweje huduma basic kama kadi mtutoze pesa zote hizo.
Ndugu wana JF mkipata muda chungulieni account zenu , ombeni na bank statement hawa jamaa wanakwangua hela ndefu wanayoita cardfee.
Jamaa wanashiriki kwenye kuyafanya maisha yetu yawe magumu!!
CRDB msitafute hela kiujanja!!!
.Leo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala?