CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

Huu uzi nilikuwa naupita kimyakimya leo nimelipwa check haifiki hata laki tano naambiwa inabidi nikatwe 10000 utaratibu mpya na wala hawatoi risiti sijui tra wanapataje kodi zao
 
CRDB sasa imekuwa kama kitengo cha NMB kwani uongozi mpya umechukua Directors/Managers kwa kiasi kikubwa NMB (completely recycling). Idea/Model ya NMB ndio imepandikizwa CRDB yaani ubunifu ni zero kabisa (copy and paste).
 
Kiukweli kwa sasa CRDB wamekuwa wazinguaji sana. Naona wamelewa sifa za kuwa benki yenye ubunifu zaidi. Binafsi nilienda na jamaa yangu kushughulikia mkopo lakini kilichotokea jamaa aliamua kuhama benki baada ya kuona mizunguko kibao isiyo na tija. Aliingia Equity with no time akapata mkopo wa biashara. CRDB wasipobadilika watakutana na anguko la maana siku chache zijazo
 

Nimepata same scenario.....ni wapuuzi sana sanaaa na wanakera mno nmeshaenda tawini kwao ad nmechoka nmepiga simu majibu n subiri 24 hrs
Shwainiiii kabisaaaa
Wako ovyooo zaid ya ovyoooo
 
Nimepata same scenario.....ni wapuuzi sana sanaaa na wanakera mno nmeshaenda tawini kwao ad nmechoka nmepiga simu majibu n subiri 24 hrs
Shwainiiii kabisaaaa
Wako ovyooo zaid ya ovyoooo
Wanazungua sana Jamaa it's better waifute hiyo huduma kuliko kusumbua watu
 

Huo ni ugonjwa wa crdb toka nimewajua hata Enzi za Kimei, nimefika LA - Carlifonia nategemea debit card yao ya visa naambiwa itakuwa sawa hola, imekuja kukubali siku narudi Dar! Ila Nashukuru anyways maana nilisave hela ambayo ingeisha tu
 
Aisee . . . . hivi kumbe brother aliwatumia sana eeh . . . . sasa nimejua
 
Wanazungua sana Jamaa it's better waifute hiyo huduma kuliko kusumbua watu

Wangetoa tu kama hawawez haina maana kueka huduma ambayo humudu kuitoa kwa wateja wako

Ata notification ya email kwa wale watumia internet BAnking n ovyoooo
Una access saa 5 asbh inakuletea notification kua acc yako ilikua accessed saa 3 usiku
 
Vipi Kuhusu Standard Charter MKU...??
 
Hivi mnaoilalamikia crdb kujaa wachaga fuatilieni ni wapi ilipotokea ama kuzaliwa. Kama vipi na nyie anzisheni za kwenu na mjazane humo. Ingekuwa taasisi ya serikali ningeongea kama enzi za TRA ya mramba
 

The same thing kilinihamisha CRDB mwaka 2016 since there nimetimkia Equity huduma zote chap chap. Nilikasirika sana kujazishwa liform, na bado nichukue muda wangu kufatilia hiyo form siku mbili bila mafanikio, Mbele ya mhudumu wao nilimwambia mimi na nyie basi from today onwards.
 

Nimecheka eti amini usiamini
majamaa ni real definition ya local! Very local na huduma zao za wizi wizi, mteja amepoteza ATM card eti anatakiwa kulipia kurenew! How?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…