CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

Kiukweli kwa sasa CRDB wamekuwa wazinguaji sana. Naona wamelewa sifa za kuwa benki yenye ubunifu zaidi. Binafsi nilienda na jamaa yangu kushughulikia mkopo lakini kilichotokea jamaa aliamua kuhama benki baada ya kuona mizunguko kibao isiyo na tija. Aliingia Equity with no time akapata mkopo wa biashara. CRDB wasipobadilika watakutana na anguko la maana siku chache zijazo
Hii ilinitokea hata mimi ...Nilimaliza taratibu zote za mkopo jamaa kuniwekea fedha wanajivuta hawakujua kuwa mimi ninaishi kama serikali lazima nikope yaani ni lazima niwe na mkopo ili kichwa kichaji ........ nikafatilia kama wiki 2 wanizingua nikajua jamaa anataka cha juu.......nikauchuna baada ya mwezi wakaingiza hiyo fedha .... nikamtumia sms afisa mikopo nikamwambia wengine kukopa ni kama hobby sio lazima tuwe na tatizo wakati huo naweza kujaza fomu ya mkopo leo fedha wekeni hata mwakani
ah ah
 
Unaweza kuajiri na kigezo kimojawapo kikawa ukabila, na ukaweza kupata watu competent tu, na unaweza kuajiri bila kuweka kabila Kama kigezo, na bado ukapata watu incompetent. Issue ni process ya ajira katika scenarios mbili hizi. Ya kwanza inaweza kuwa ilikuwa nzuri pamoja na kuweka ukabila, ya pili ilikuwa ya ovyo pamoja na kutokuweka ukabila.
danger.png
 
Kimei kutengeneza ukabila crdb hana legacy ya kumkumbuka.

Crdb caribu heads wote wa idara, sections and branches utakuta ni ndugu zake/wakaskazini wenzake.

A country with over 50m people kupendelea watu wa kanda yako pekee ni ujinga ambao hauna mfano.
Ila CRDB imejaa Wachanga jamani dah..

NSSF nayo na kina Mudy na Aziza kama mgambo na kirungu.
 
Nmb wqnajitahidi. Last yr nimejaza fomu ya online purchase within 3 hrs nikafanya payment,hadi leo natirirka.
 
You are very wrong my friend. Issue ya kufungua tawi Chato ni Magufuli alitaka, na Kimei alizungumza akasema, wakiweka tawi pale Chato halitalipa, lakini ikabidi iwe hivyo kwa sababu ya mzee.

Kama Kimei alijua kuwa taw la CRDB lisingelipa pale Chato halafu akalifungua , as a seasoned banker he acted very unprofessionally na kwa kufanya hivyo ndio maana nikasema alifanya kwa kujipendekeza!! In that regard I am factual.
 
Unajua maana ya undue influence?
Kama Kimei alijua kuwa taw la CRDB lisingelipa pale Chato halafu akalifungua , as a seasoned banker he acted very unprofessionally na kwa kufanya hivyo ndio maana nikasema alifanya kwa kujipendekeza!! In that regard I am factual.
 
Kimei kutengeneza ukabila crdb hana legacy ya kumkumbuka.

Crdb caribu heads wote wa idara, sections and branches utakuta ni ndugu zake/wakaskazini wenzake.

A country with over 50m people kupendelea watu wa kanda yako pekee ni ujinga ambao hauna mfano.
Mimi nilijua ni benki ya Wachagga toka mwanzo hata leo hii bado najua hivyo.
 
Unajua maana ya undue influence?

Why should there be undue influence to a privately owned bank? Au hujui kuwa CRDB sio mali ya serikali? The government shareholding in the bank is insignificant so as to yield to their influence.
 
Hujui maana ya undue influence nduo sababu umehisi limit yake inaishia kwny Taasisi za Serikal

Ungejua hilo pia ungejua kwann Sumaye alilazimishwa kujiuzulu ujumbe wa Bodi ya CRDB wakat sio Bank ya Serikal
Why should there be undue influence to a privately owned bank? Au hujui kuwa CRDB sio mali ya serikali?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Sumaye alilazimishwa kujiuzulu ujumbe wa Bodi ya CRDB wakat sio Bank ya Serikal

Alilazimika kujiondoa kwenye board ili kuepusha hayo mambo aliyofanya Magufuli ya kulazimisha unprofessional executives kufanya maamuzi ambayo hayakuwa na tija kwa benki!!! Remember you will only exert undue influence kwa executives ambao ni weak { wanaojipendekeza}.
 
Hii ilinitokea hata mimi ...Nilimaliza taratibu zote za mkopo jamaa kuniwekea fedha wanajivuta hawakujua kuwa mimi ninaishi kama serikali lazima nikope yaani ni lazima niwe na mkopo ili kichwa kichaji ........ nikafatilia kama wiki 2 wanizingua nikajua jamaa anataka cha juu.......nikauchuna baada ya mwezi wakaingiza hiyo fedha .... nikamtumia sms afisa mikopo nikamwambia wengine kukopa ni kama hobby sio lazima tuwe na tatizo wakati huo naweza kujaza fomu ya mkopo leo fedha wekeni hata mwakani
ah ah
ahahahahaaaa . . . . hatari sana
 
Back
Top Bottom