Hakuna watu wanaendekeza undugunaization nchi hii kama wachaga, wapare na wahaya......but CRDB wamezidi bhana.
Board of directors tu ni tatizo kina mushi, kileo wamejazana bado haujaja chini huku.....mameneja na vitengo vingine, na kwa soko la ajira saiv lilivyokua gumu kama sio mchaga usahau kukamata kitengo CRDB.
Hii ni kwa nafasi za mateller, huu ni mwaka wa pili nashuhudia wakifanya hivi...mimi niliomba nikakosa ila kuna rafiki zangu wawili wako huko...sio wachaga lakini. Naona umepanic mkuu sio lazima uajriwe crdb!!
Anyway its just a matter of time!! Yalikuwepo mashirika makubwa kama TTCL,SHIRECU,NCU,KCU,BIMA lakin leo hii yako wapi??
sasa kwanini huyo jamaa yako hajakwambia hizo nafasi kabla? wewe ndio kimeo, na tena nitamtafuta kwa kutoa siri za ofisi katika kuajiri. ukiona ajira ngumu fanya siasa inalipa.
Usipokuwa na mtu wa kukusika mkono, huwezi pata kazi wheather you are kurya, jita, haya,chaga, pare,zaramo etc. Believe that coz thats what I SEE
We jamaa bwana...!
Ndio nini hii sasa?
We jamaa bwana...!
Ndio nini hii sasa?
Labda anadhan meli inaweza pigwa na dhoruba kisha ikazama!! Mawazo magum sana haya kama ndio hivyo.
Sent from my iPhone using JamiiForums app.
Mawazo magumu kweli!! Barclay bank wapo wapi mkuu wangu! Leo kuna bank ngapi tz?? Ipo siku watafunga baadhi ya matawi na kupunguza staff, kama wamepunguza Barrick staff sembuse crdb mkuu!!!
Mkuu wangu, ziko sababu nyingi zinazoweza kusababisha kuanguka kwa taasisi au kampuni yeyote ile na haijalishi kampuni husika imedum kwa miongo mingapi, unachokifanya hapa ni kwa kuwa wewe hukupata Basi lawama na shutuma kwa CRDB.
Na niwazi kabisa uko na hisia kwamba bora matawi au the whole CRDB iporomoke kwa kufunga baadhi ya branches zake, kumbuka ungekuwa unafanya CRDB, familia inakutegemea na mambo yako yanakwenda vyema kwa sababu ya ajira yako CRDB sidhan kwamba hizo hisia ungezipa uzito kiasi hicho.
Jambo la msingi ni wewe kutokata tamaa, maadam una CV yako jitahidi kucheki na taasisi nyingine, na mwisho kabisa mwamini Mungu na utashinda, wapo wengi waliopata ajira za bila hicho kinachodaiwa sijui undugu wala ukabila, na pia wapo ambao wamepata kwa mgongo wa mjomba, network nk.
Achana na hizi mambo sijui walikuwepo Barrick na nduguze, kama binadamu tunazaliwa na kufa sembuse hizo taasisi??
Sent from my iPhone using JamiiForums app.
Technical know-who!
Mkuu mimi kinachoniuma ni kutokutangaza hizi chance ili kila mtu aombe!!
Ndo maana kuna watu wanatuzodoa kwamba nitatoka na Lower second class au pass kabisa but kwenye life utapanga foleni na upper second class yako,kumbe walishajua kua nafasi zao zipo!!
Tatu mimi kazi ninayo but nilitaka kuchange niweze kugrow up!! Maana hapa ofisin ni shida!!
Mkuu nimekuelewa, usikate tamaa songa mbele.
Sent from my iPhone using JamiiForums app.
hahahahahah!!!!!