CRDB Bank

Huyu ni Kimeo na sio Kimei!!!
Si atangaze?? Hv makabila makubwa kama wasukuma wangekua na crdb yao si wangejaa kila ofisi???

Sio swala la ukubwa wa sijui hicho unachokiita Kabila, ni swala la uwezo wa kufanya kazi na Usomi, imetokea tu kwamba kwa sababu za kihistoria watu wa kutoka Mkoa wa KLM ndio waliosoma sana ukilinganisha na watu wa Mikoa mingine, yaani pengo la Kieleimu kati ya KLM na Mikoa Mingine ni kubwa sana!


 
mkuu hapo ni kaz kwel kwel, ila mambo ya ajira wakati wako ukifika utapata tuu, chaa muhimu ni kutafuta sehemu ukute umejshkza inaweza kukutoa tu.
 
Husiwe punguani wewe, nani kakudanganya watu wa kilimanjaro ndio wamesoma ? Hapa tunaongelea swala la kiutendaji na crdb wanautendaji wa kikanda.......unadhani wachaga hata kama unasema wamesoma wangeweza kuajiriwa kwenye makampuni labda ya wasukuma au wahaya kama nao wangesema wafanye mambo kikabila......
 
mkuu hapo ni pagumu sana, ila masuala ya ajira yanahitaj uvumilivu sana ni bora utafute shughuli ya kujishikisha huku unaendelea kutafuta maana wakati wako wa kupata ukifika utapata tu.
 

w.a.s.e.n.g.e kweli unakuta anajishaua huku kazi yenzewe kapata kwa rushwa yaj ngono
 
 
Network!!

and volunteerism...siku hizi watu wanaomba kujitolea. Mwajiri hawezi kukutafuta wewe fresh na amwache mfanyakazi ambaye amejitolea kwa miaka miwili na ameshajenga uzoefu. Tatizo watu mwataka ukitoka tu chuo uanze kulipwa mamilioni. Mambo yamebadilika....
 

Kwa hiyo wanao volunteer CRDB ni kina Mushi tu,Wengine hapana!!!
 
Jitahidi umuone Kimei hakikisha umechukuwa cheti chako cha ubatizo hicho ndio muhimu ktk ajira za CRDB

kwa ambao hatukubatizwa vipi uthibitisho wa kabila unaweza kusaidia?mimi mchaga!
 
 
 
Inanishangaza sana kwa watu wa KLM eti ni wasomi lkn utendaji/uongozi wao ni wa kimashaka halafu si waaminifu hata kidogo.
 
Inanishangaza sana kwa watu wa KLM eti ni wasomi lkn utendaji/uongozi wao ni wa kimashaka halafu si waaminifu hata kidogo.

Huyu boya kweli,eti KLM ni wasomi
Wasomi wapi mnabebana??
Mnakumbuka kipindi Basil Pesambili Mramba akiwa waziri wa fedha? Alijaza wachaga TRA na Hazina balaa!!!!
 
Elimu ya Tanzania bhana. Mijitu badala ya kutafuta just small capita cha laki tano au chini ya hapo aanze ujasiria mali kwa uwezo wa taaluma aliyo nayo. Yeye anafikiria kuajiriwa
 

ili ukaibe au..
 
Elimu ya Tanzania bhana. Mijitu badala ya kutafuta just small capita cha laki tano au chini ya hapo aanze ujasiria mali kwa uwezo wa taaluma aliyo nayo. Yeye anafikiria kuajiriwa

Hiyo laki tano unaipataje sasa?? Tupe ujanja wa kuipata hiyo laki tano
 
Huyu boya kweli,eti KLM ni wasomi
Wasomi wapi mnabebana??
Mnakumbuka kipindi Basil Pesambili Mramba akiwa waziri wa fedha? Alijaza wachaga TRA na Hazina balaa!!!!

Wakati wa Mramba akiwa waziri wa Fedha mm nilidhani hiyo wizara na Taasisi zake ni sacos za wachaga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…