CRDB bank mnaturudisha miaka ya 90

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,536
2,000
Huu mtindo wa mtu kwenda kuchukua fedha tawi tofauti na alilofungulia account na wafanyakazi wa crdb hawampi ela hadi wapige simu kwenye tawi ulilo fungulia account ndio upate huduma huu ni usumbufu kwa wateja na kuturudisha miaka ya 1990.sasa kuna mtandao lkn mambo ni yale yale?
 
xav bero

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
5,058
2,000
Mkuu hiyo ni for your own security. Na hasa kama una draw zaidi ya million 5. Na mara nyingi hufanya hivyo kama account yako haina mazoea ya kutolewa hela sehemu zaidi ya ulipofungulia.

Ukifanya transactions kama hizo zaidi, basi wanakuwa hawafanyi tena hivyo.

Vumilia mkuu.
Kwel kabsa ndugu
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
34,921
2,000
Mbona kama kuna ugonjwa ambao hatuujui siku hizi? kila kona ni vikwazo tu, Mungu shusha rehema zako.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,424
2,000
Mkuu Usikasirike ni Kwa Usalama wa Fedha Zako,Lazima wafanya KYC and Due Deligence kwanza kabla yakutoa Mzigo.
 
Kibo255

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
4,408
2,000
Pole sana mkuu sasa kila sehemu kuna uhakiki tu
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
95,536
2,000
Mkuu hiyo ni for your own security. Na hasa kama una draw zaidi ya million 5. Na mara nyingi hufanya hivyo kama account yako haina mazoea ya kutolewa hela sehemu zaidi ya ulipofungulia.

Ukifanya transactions kama hizo zaidi, basi wanakuwa hawafanyi tena hivyo.

Vumilia mkuu.
Mkuu huu ni zaidi ya usumbufu mkubwa sana,nini maana ya kuanzisha huduma za on line?
 
kandawe

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
1,138
2,000
Huu mtindo wa mtu kwenda kuchukua fedha tawi tofauti na alilofungulia account na wafanyakazi wa crdb hawampi ela hadi wapige simu kwenye tawi ulilo fungulia account ndio upate huduma huu ni usumbufu kwa wateja na kuturudisha miaka ya 1990.sasa kuna mtandao lkn mambo ni yale yale?
Kwanza tungejua ulikuwa unatoa kiasi gani, pia account history yako. Ni kawaida ya bank yoyote kuhakikisha wanalinda pesa ya mteja wake. Kumbuka umesema hiyo sio domicile branch yako, kama ulikuwa unachukua pesa ambayo iko juu ya kiwango ambacho bank imejipangia ni lazima wapate kujiridhisha toka branch yako.
Ni kawaida tu mbona hiyo mkuu na sio CRDB peke yake,kama unataka kuona ni kawaida kafungue account yako Standard Chartered bank...hao ndo 100% control followers.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom