Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,488
- 2,622
...umeuliza ukapewa sababu hukuridhika nazo;
.ama basi tu umeamua kuanzisha uzi?
.ama basi tu umeamua kuanzisha uzi?
Bring back alive Ben sa 8Pole sana mkuu sasa kila sehemu kuna uhakiki tu
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
eh eh deposit haitoji wadau wanajaribu kuibana msije ifirisi banki...kweli tunaisoma nambaHuu mtindo wa mtu kwenda kuchukua fedha tawi tofauti na alilofungulia account na wafanyakazi wa crdb hawampi ela hadi wapige simu kwenye tawi ulilo fungulia account ndio upate huduma huu ni usumbufu kwa wateja na kuturudisha miaka ya 1990.sasa kuna mtandao lkn mambo ni yale yale?
Sidhani kama unaelewa mada mkuu. Ni kuhusu kutoa hela dirishani sio kwenye ATM.Siyo kweli, kama natoa kwenye ATM nahakiki vipi?
Nimeelewa mkuu, umri nao umeenda sasa.Sidhani kama unaelewa mada mkuu. Ni kuhusu kutoa hela dirishani sio kwenye ATM.
Kuna haja ya Benki hii nayo kubadilisha uongozi , mtu mmoja tangu watoto hadi tunazeeka !Huu mtindo wa mtu kwenda kuchukua fedha tawi tofauti na alilofungulia account na wafanyakazi wa crdb hawampi ela hadi wapige simu kwenye tawi ulilo fungulia account ndio upate huduma huu ni usumbufu kwa wateja na kuturudisha miaka ya 1990.sasa kuna mtandao lkn mambo ni yale yale?
Mbona kama kuna ugonjwa ambao hatuujui siku hizi? kila kona ni vikwazo tu, Mungu shusha rehema zako.
Noted mkuuThat is one of the indicators of economic recessions - banks are running out of cash, expect more impediments
Yani hata ukishikwa na tumbo la kuhara unamlaumu Magu...wewe ni mtu wa ajabu kabisa..corrupted mindset driven by bias of un appreciation..ha ha hiyo yote ni kazi ya sizonje
Ushawai kuisoma bot regulation yoyote? Ushawahi kuipitia AML act ya tz? Kama kuna benki ukifika unapewa mil20 without any procedure au kyc naomba uniambie na mm nkafungue akaunti chapumimi iko siku nimeenda kudraw milioni 20 kwenye account yangu wananiuliza hizo pesa zimetoka wapi kidogo niwatukane
Mm tatizo ninaloliona apo ni length time ...ila kujiridhisha kama ww kweli ni mkazi wa kigoma ila leo uko karagwe naona ni sahihi kabisa...siku uende benki ukute mjanja kafoji signature na kavaa lets nicab na kupewa mil20 au 50 kutoka akaunti yako then presha itakavyopanda utaona umuhimu wa kujiridhisha ulivo. Benki zote zinafanya ivo...hata taasisi binafsi mfano kununua gari japani lazma utasubiri wahakiki kama pesa imeingia kama aliyeingiza na mtu verified.... kampuni za mafuta lazma ukienda kupakia mafuta lazma wajiridhishe kama aliyeenda kupakia mafuta toka kisimani kwenda sheli ni yeye na ana vibali na je tayari kalipia cash au bank? -huu uchukua hata muda sana.Huu mtindo wa mtu kwenda kuchukua fedha tawi tofauti na alilofungulia account na wafanyakazi wa crdb hawampi ela hadi wapige simu kwenye tawi ulilo fungulia account ndio upate huduma huu ni usumbufu kwa wateja na kuturudisha miaka ya 1990.sasa kuna mtandao lkn mambo ni yale yale?