Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Huu mtindo wa mtu kwenda kuchukua fedha tawi tofauti na alilofungulia account na wafanyakazi wa crdb hawampi ela hadi wapige simu kwenye tawi ulilo fungulia account ndio upate huduma huu ni usumbufu kwa wateja na kuturudisha miaka ya 1990.sasa kuna mtandao lkn mambo ni yale yale?