CRDB Bank -Lumumba ni "Maua" na Maua!.

Naona matumbo tu na maziwa makubwa maua sijaona licha ya kuzoom picha nikaongezea na kukodoa jicho na lenzi juu but where Maua hamna
 
Du Tiba!, ama kweli!, kwa nini lakini wanawake hampendani?!, yaani wewe Tiba unawaoneaje wivu wadada wa watu hata huwajui?!. Wadada hao wako natural wamependeza, unawasingizia mkorogo?!, that's not fair!. Au kwa vile wanafanya kazi nzuri, ofisi nzuri, wanalipwa pesa nzuri, mazingira ya kazi ni full kipupwe, hivyo wanaungua jua kidogo sana!, hii inapelekea wengi wao kung'aa unadhani ni mkorogo?!. No way!.

Hizi picha nimepiga mwenyewe, mimi ni mteja pale!, hakuna mkorogo wowote hapo!.
NB. Pia uwe na uwezo wa kudistinguish poda na mkorogo!, kama ni huyo cheupe, huyo cheupe ni cheupe original tena kule kwenye vyeupe, ila nakiri, kimetupia hapo poda nyingi kidogo!.

Wadada pendaneni!.

Pasco
Mkuu naomba namba ya huyo cheupe atleast amenishawish
 
View attachment 143838 View attachment 143839 View attachment 143840 View attachment 143841 View attachment 143842 View attachment 143843 View attachment 143844 View attachment 143845 View attachment 143846 Wanabodi,
Mnaweza kuona jinsi CRDB Tawi la Lumumba lilivyo na "Maua" na bado likapambwa maua!, hivyo huku sio ni kupendeza juu ya kupendeza?!.

Kiukweli ni just imagine, ni raha iliyoje kuhudumiwa "huduma" za kibenki mahali panapopendezea kihivi?!.

Week-end njema

Paskali
Huyo bonge white ananyodo huyoo,utafikiri benki mali yake
 
Back
Top Bottom