CRDB Bank -Lumumba ni "Maua" na Maua!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,557
Ua Kushoto, Ua Kulia 1.jpg
Ua Kushoto, Ua Kulia 2.jpg
Ua Kulia, Ua Kushoto -5.jpg
Ua kubwa mbele.jpg
Ua kubwa Kulia.jpg
Ua Kulia -12.jpg
Ua dogo kwenye kona kabisa Kulia-11.jpg
Ua Kulia sana. 10.jpg
Ua Kubwa Kulia -9.jpg
Wanabodi,
Mnaweza kuona jinsi CRDB Tawi la Lumumba lilivyo na "Maua" na bado likapambwa maua!, hivyo huku sio ni kupendeza juu ya kupendeza?!.

Kiukweli ni just imagine, ni raha iliyoje kuhudumiwa "huduma" za kibenki mahali panapopendezea kihivi?!.

Week-end njema

Paskali
 
Kweli mjini hasa Dar pachafu lakini kuna mambo yake mazuri na mizigo mizito mizito mmh
 
Mkuu pasco heshima yako!! Samahani kaka naomba kukuuliza...hivi shemeji anajua kuwa kuna kitu kinaitwa 'jf'?!. Maanaake nina wasiwasi kuna siku frying pan itatua kichwani kwako
Anajua!, wengine tuliishindikana kitambo!, ila uzuri wetu ni ...kwa macho tuu!.
Pasco
 
Sawa kaka Pasco, Lowassa nchi anachukua?
There is nothing to stop him!, japo mimi binafsi nina mashaka kidogo na hali ya afya yake kuhimili mikiki mikiki ya kampeni nchi nzima!, hivyo kwa upande mwingine namuhesabu kama a "pace maker" kama alivyo Yohana Mbatizaji, kusafisha tuu njia na kuyanyoosha mapito ya yule yuajaye!.

teh teh teh..dah haya bana!
 
Back
Top Bottom