CRDB ARUSHA BRANCH-huduma zenu ni mbovu

Foleni hiyo nadhani ilijaa waJF leo...Nimefika kwenye foleni ya hapohapo Friens Corner saa 3.50 asubuhi, nikakuta ni mashine moja tu inatumika, nayo inasuasua vibaya mno. Nikaangalia foleni nilikuwa mtu wa 12, nikaona hakuna dili, bahati nzuri nina master-card nikawahi Stanbic na kujisevia fasta!

CRDB wanaandikisha wateja kila siku, wakati wanajua hawawezi kuwahudumia, na wamejawa na kiburi na kejeli sana kiasi wanaboa!...Kinachowashikilia hawa sasa hivi ni jina tu, lakini kihuduma wako written-off!...!
Sielewi shida ninini pale , wakati kuna vijana wadogo wameajiriwa majuzi tu!
 
was thinking of putting a thread juu ya watoa huduma wetu, kwenye mabenki, hospitali, ofisi za watu binafsi, ofisi za umma na za serekali ndo usiseme. Yani utafikiri wamelazimishwa kazi. Na kama hawazitaki si wa kalale. Kichekesho kingine ni hizo atm. Sio crdb tu hata za mabenki mengine utakuta upuuzi wa kutokua na hela, sijui nini maana ya kuwa nazo. Luckily arusha mji mdogo.. Unaweza kujikuta umezungukia atm zote na hazifanyi kazi, unaishia kubahatisha kwenye benki isiyo yako halafu check charges. Kiboko ya ni zinazoendeshwa na wahindi eg exim na kcb. Hukuti foleni za kijinga ndani wala kwenye atms
nadhani yafaa tuchukue hatua ya kuhama bank ili wajifunze jinsi ya kutunza mteja.tuwaache wabaki na madeal yao ya kupitisha hela za kifisadi e.g EPA.
 
Foleni hiyo nadhani ilijaa waJF leo...Nimefika kwenye foleni ya hapohapo Friens Corner saa 3.50 asubuhi, nikakuta ni mashine moja tu inatumika, nayo inasuasua vibaya mno. Nikaangalia foleni nilikuwa mtu wa 12, nikaona hakuna dili, bahati nzuri nina master-card nikawahi Stanbic na kujisevia fasta!CRDB wanaandikisha wateja kila siku, wakati wanajua hawawezi kuwahudumia, na wamejawa na kiburi na kejeli sana kiasi wanaboa!...Kinachowashikilia hawa sasa hivi ni jina tu, lakini kihuduma wako written-off!...!Sielewi shida ninini pale , wakati kuna vijana wadogo wameajiriwa majuzi tu!
mkuu kale kamachine kalikuwa kanafanya kazi kwa huduma nyingine lakini sio kutoa pesa.baadae iligoma kabisa na kila aliyeingia kuulizia alipewa jibu tofauti au 1hr bila kujali umefika saa ngapi,nadhani hata ukifika sasa hivi watakwambia matengenezo yatakamilika baada ya 1hr.sijui wanadhani wanawahudumia wahuni tu?
 
Wakuu, napenda kuwapa taarifa, wale wateja wa NMB mnaojazana pale Ubungo oil com, kuna ATM mpya za NMB zimefunguliwa pale Sheli ya ENGEN inaangaliana na Ubungo Plaza. Hamna folen kabisa zpo mbili. Ni hayo tu.
 
huko NMB si ndio maafa kabisa!
 
mkuu huyu dada anavaa hijabu anajitahidi sana!hata kama wakikosea basi anajua jinsi ya kuongea na mteja.tatizo kubwa liko Arusha Branch yaani dharau zimewajaa ile mbaya.

Yes ndio huyo huyo na jina lake ndo hilo aliwahi nisaidia sana na akamsadia rafiki yangu na ilibidi hata shirika likahamasika kwenda kufungua akaunti zake pale na kuhama pale arusha branch. Cha kushangaza pale Arusha branchi kuna meneja wa tawi huyu mama yetu Chiku na sijui kwa nini ame relax namna hiyo. Hata hivyo amekaa mda mrefu na inawezekana amezoea kazi yake na haoni cha kuboresha na kama ni hivyo basi afanye busara ku-invite wenye mawazo mapya kwa maana ya ku step down au abadilishe kazi ili hali iboreshwe.
 
Foleni hiyo nadhani ilijaa waJF leo...Nimefika kwenye foleni ya hapohapo Friens Corner saa 3.50 asubuhi, nikakuta ni mashine moja tu inatumika, nayo inasuasua vibaya mno. Nikaangalia foleni nilikuwa mtu wa 12, nikaona hakuna dili, bahati nzuri nina master-card nikawahi Stanbic na kujisevia fasta!

CRDB wanaandikisha wateja kila siku, wakati wanajua hawawezi kuwahudumia, na wamejawa na kiburi na kejeli sana kiasi wanaboa!...Kinachowashikilia hawa sasa hivi ni jina tu, lakini kihuduma wako written-off!...!
Sielewi shida ninini pale , wakati kuna vijana wadogo wameajiriwa majuzi tu!

Hawa vijana mkuu ni mvinyo mpya katika kiriba cha zamani au kiraka kipya katika nguo kuu kuu kwa maana ya kwamba wakifika wanfanywa kama watoto. Wanatakiwa wajifunze kwa mama, kaka na dada zao waliowakuta ikiwa ni pamoja na kuwa watiifu na adabu; ktk hali kama hii usitegemee hata kama wana wazo la ubunifu litajitokeza tena.
 
Yes ndio huyo huyo na jina lake ndo hilo aliwahi nisaidia sana na akamsadia rafiki yangu na ilibidi hata shirika likahamasika kwenda kufungua akaunti zake pale na kuhama pale arusha branch. Cha kushangaza pale Arusha branchi kuna meneja wa tawi huyu mama yetu Chiku na sijui kwa nini ame relax namna hiyo. Hata hivyo amekaa mda mrefu na inawezekana amezoea kazi yake na haoni cha kuboresha na kama ni hivyo basi afanye busara ku-invite wenye mawazo mapya kwa maana ya ku step down au abadilishe kazi ili hali iboreshwe.
hili ndio tatizo la kumuweka ndugu,jamaa au rafiki kwenye majukumu nyeti na iwapo anaonekana kushindwa unamuonea aibu kumwajibisha.mda wa wazee kuachia ngazi umefika this generation is just too fast for vikongwe.
 
Kwendeni zeni nyi wakenya mmekimbia Njaa kwenu halafu mnakuja hapa TZ tunawasaidia pia mnaketa na Jeuri juu, Kama mmeshindwa kuishi TZ rudini makwenu, Acheni upuuzi wenu kama nyi wajanja Mngekimbia makwenu?.

Toeni upuuzi wenu hapa

We nakufahamu si wewe ni Mmalawi tutakurudisha kwenu, tunaolalamika ni sisi wazawa wa nchi hii kisha unasema sisi ni wakenya. Wakenya watakuwa na bank account kwenye mabenki ya kitumwa hapa TZ wakati kuna benki zao ? au unawasikia tu? Huduma za mabenki yetu ni mbaya sana. Mie pia nahama kwa upuzi huo, hela zangu kisha niteseke kisa?
 
I like standard Chartered Bank. They are not 100% ok but at least they show that they listen and care for their customers
 
Foleni hiyo nadhani ilijaa waJF leo...Nimefika kwenye foleni ya hapohapo Friens Corner saa 3.50 asubuhi, nikakuta ni mashine moja tu inatumika, nayo inasuasua vibaya mno. Nikaangalia foleni nilikuwa mtu wa 12, nikaona hakuna dili, bahati nzuri nina master-card nikawahi Stanbic na kujisevia fasta!CRDB wanaandikisha wateja kila siku, wakati wanajua hawawezi kuwahudumia, na wamejawa na kiburi na kejeli sana kiasi wanaboa!...Kinachowashikilia hawa sasa hivi ni jina tu, lakini kihuduma wako written-off!...!Sielewi shida ninini pale , wakati kuna vijana wadogo wameajiriwa majuzi tu!
i Was there too!wameniharibia siku ile mbaya.
 
I like standard Charterd Bank. They are not 100% ok but at least they show that they listen and care for their customers
no one company/bank is 100% perfect the difference comes on how customers are handled.
 
NMB ndo usiseme kabisa. Hizi benki zetu jaribu kutafuta hata mkopo uone. Benki za kikenya si za watanzania lakini wanakopesha hadi milioni mbili bila dhamana isiyohamishika. Mikopo yao ni muda mfupi sana unapata, hakuna uswahili wala ujanja janja, benki nzetu zisipobadilika tutatawaliwa kiuchumi na wakenya. Benki nako urasimu wa nini?
 
Kwendeni zeni nyi wakenya mmekimbia Njaa kwenu halafu mnakuja hapa TZ tunawasaidia pia mnaketa na Jeuri juu, Kama mmeshindwa kuishi TZ rudini makwenu, Acheni upuuzi wenu kama nyi wajanja Mngekimbia makwenu?.

Toeni upuuzi wenu hapa

Unataka kumaanisha kuwa watanzania wote waishio nje ya TZ wamekimbia njaa TZ? Wewe bana..Kenya bajeti yao ya mwaka huu ni Trilioni 20 wakati TZ ni trilioni 13. Tanzania ni kubwa karibu mara tatu ya Kenya...una uhakika kwamba unawasaidia wakenya? napita tu
 
Mdogo wangu ananiambia ATM za CRDB mji mzima wa Arusha hazitoi fedha.hii ni hujuma kwa wateja.KCB na bank nyingine makini tumieni opportunity hii!
 
Tatizo ni huyo bosi wao mkuu anawavua sana chupi hao wafanyakazi wake wengi. Hapo sio rahisi kupanda cheo km nyeti ya huyo mubosi haijakuclick. Jamaa kwa sababu muda wake ndio unayoyoma kajaza watoto zake na vimada vyake akiwemo huyo mama wa Arusha mnayemlalamikia. Huyo mama ana kiburi sana just coz ni kimada wa muboss. Jamaa kaijenga na pia yeye mwenyewe ataibomoa CRDB.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom