Mss Member Joined Aug 15, 2015 Posts 64 Reaction score 34 Mar 26, 2016 #41 mkandya27 said: Dah mimi leo n siku y tatu nasubiri tu salary lkn hawajaingiza mpaka dakika hii na ni mtumishi wa serikali hela. Zilitoka tarehe 24 Click to expand... Mkuu unatumia benk gani naona CRDB wengi wameshapata
mkandya27 said: Dah mimi leo n siku y tatu nasubiri tu salary lkn hawajaingiza mpaka dakika hii na ni mtumishi wa serikali hela. Zilitoka tarehe 24 Click to expand... Mkuu unatumia benk gani naona CRDB wengi wameshapata
mkandya27 Senior Member Joined Oct 26, 2015 Posts 154 Reaction score 30 Mar 27, 2016 #42 Nipo CRDB branch ya SEngerma hatujapata hadi sasa@Mss
Mss Member Joined Aug 15, 2015 Posts 64 Reaction score 34 Mar 27, 2016 #43 mkandya27 said: Nipo CRDB branch ya SEngerma hatujapata hadi sasa@Mss Click to expand... Mkuu nafarijika kusikia wengi hatujapata mimi pia cjapata natumia benki ya Posta nadhani tusubr mpaka kufikia j4 wanaweza kutuwekea. Pole bro
mkandya27 said: Nipo CRDB branch ya SEngerma hatujapata hadi sasa@Mss Click to expand... Mkuu nafarijika kusikia wengi hatujapata mimi pia cjapata natumia benki ya Posta nadhani tusubr mpaka kufikia j4 wanaweza kutuwekea. Pole bro
dansmith JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 2,305 Reaction score 2,097 Mar 27, 2016 #44 Kuna ka Dada kanaitwa Ivana kanabia transaction za watu kanapenda rushwa sana
S semzei JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 416 Reaction score 266 Mar 27, 2016 #45 PROPHET POLY said: Kwa sim banking yao nilitoa 3,390,000/- Wakanikata 640,000/-Sasa huu si wizi huu wa mchana??SINA HAMU NAO TENA MAISHA NA HUWA NAWASHAURI WATU WASIITUMIE KWANI NI UBABABISHAJI NA WIZI? WEKENI WAZI SERVICE AMMOUNT ZENU SIO UJANJA UJANJA TU!0656880804 Click to expand... Funga account yako huo ni wizi mkubwa au tafuta mwizi wako achukuliwe hatua asiwaibie wengine.
PROPHET POLY said: Kwa sim banking yao nilitoa 3,390,000/- Wakanikata 640,000/-Sasa huu si wizi huu wa mchana??SINA HAMU NAO TENA MAISHA NA HUWA NAWASHAURI WATU WASIITUMIE KWANI NI UBABABISHAJI NA WIZI? WEKENI WAZI SERVICE AMMOUNT ZENU SIO UJANJA UJANJA TU!0656880804 Click to expand... Funga account yako huo ni wizi mkubwa au tafuta mwizi wako achukuliwe hatua asiwaibie wengine.
mkandya27 Senior Member Joined Oct 26, 2015 Posts 154 Reaction score 30 Mar 28, 2016 #46 Mss said: Mkuu nafarijika kusikia wengi hatujapata mimi pia cjapata natumia benki ya Posta nadhani tusubr mpaka kufikia j4 wanaweza kutuwekea. Pole bro Click to expand... Mbona mishahara iliyopita walikuwa wanalipa kwa wakati lkn nashangaa mwezi huu uzembe mwingi umefanyika
Mss said: Mkuu nafarijika kusikia wengi hatujapata mimi pia cjapata natumia benki ya Posta nadhani tusubr mpaka kufikia j4 wanaweza kutuwekea. Pole bro Click to expand... Mbona mishahara iliyopita walikuwa wanalipa kwa wakati lkn nashangaa mwezi huu uzembe mwingi umefanyika