Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
Safi ndo dawa yake2.Kuna dogo alikuwa informer/snitch skuli ikawa kila mkifanya kitu bwenini au darasani anaenda kuripoti kwa displin masta tulipomgundua,tukavizia watu woote wako prepo tukarudi bwenini,tukatekenya tranka lake tukalifungua,ndani kaweka vitabu vyake,material na nguo kadhaa,tukamiminia bakuli la maharagwe na mchuzi wake alafu tukalifunga lile tranka then tukalitikisatikisa na kulisheki sheki vizuuri kabisa mpaka vitu vikajimiksi vizuri ndani,alafu hao tukarudi zetu klasi kujisomea.ebana jamaa alivyorudi alilia mpaka huruma,shida wengi walikuwa wanamchukia kwahyo wadau wakawa wanafurahia chini kwa chini na kuanzia hapo akakoma umbea,kama uko humu ndugu tusameheane ilikuwa utoto tu.
HahahaKuna mhindi mmoja alikuja shule na kitimoto kwenye lunch box,mshikaji mmoja aliitwa masood akaiba akala alidhani ni ng'ombe
Mhindi kuja,,where is my pork ?
Hahahahaha hukuhama shule kweliEnzi hizo nipo form 2 nakumbuka nipo bweni mida ya saa mbili nilikuwa na tumbo la kuala nilijinyea dalasani walimu wote waligoma kuingia dalasani sitosahau aisee kwaajiri ya mahalagwe yalio chaha
Ulikuwa unakaa mitaa ya UTUHii mada imenikumbusha mbali sana.
Kuna mwanafunzi ndo alikuwa Mgeni tu kuja pale KWIRO. MAHENGE,,
mimi Nilikuwa mtaani kwa sister, basi siku za weekend akawa anakuja Dukani kwa sister na kunikuta.
akatokea kunipenda mnoo. Na alikuwa ni mpole sana. Kiukweli Hata me nilimpenda sana.
Kuna siku alikuja na mazawadi kibao, kaniletea,
Kutokana na akili za udogo na kuogopa sister. Niliogopa kichukua zile zawadi.
Nilijuta sana kutokuchukua zile zawadi asee
Hata sikumbuki mtaa, ila ni karibu na tajiri mmoja hivi alikuwa na maduka yake pale. Anaitwa MADINGAUlikuwa unakaa mitaa ya UTU
Aaah, huyu ndio tajiri wa kule Mahenge.Hata sikumbuki mtaa, ila ni karibu na tajiri mmoja hivi alikuwa na maduka yake pale. Anaitwa MADINGA
Yeah. Mpaka Leo bado tajiri??Aaah, huyu ndio tajiri wa kule Mahenge.
Yeah. Mpaka Leo bado tajiri??
Ndio. Ujaenda muda mrefuYeah. Mpaka Leo bado tajiri??
Sijawahi enda sister alijamishiwa sehemu nyingine. Mkoa mwingineNdio. Ujaenda muda mrefu
kuna kijamaa tumesoma nacho high school vile vinatumwa na jimbo kilikua kinajifungia kupiga msuli kuanzia sa moja asubuhi mpaka kumi na mbili jioni eti kikitoka huko madini yanajaa kichwani mpaka sauti inapotea inakua ukikisemesha kinaongea kwa shida kama ile ukinigwa na moshi wa bangi unavokua kinaongea sauti haitoki eti!!
nyingine nilikuaga na tabia ya kutoroka shule usiku naenda kuangalia miziki ya kikongo kwenye tv kwenye vibandaumiza kijiji cha jirani siku moja mida ya saa tano usiku kuna ki mbalamwezi niko narudi shule kwenye njia ninayopita kama mita 25 hivi kushoto nikaona fisi kama tisa wanagombania fisi jike mmoja!!! aisee asikwambie mtu binadam anaweza kufanya vitu vikubwa sana anapokua kwenye hali ya kufa ama kupona na sifaham hata nilivuka vipi pale manake mbio nilizotimua siku hiyo hata uchukue bodaboda hunikuti, umbali ambao kikawaida nilikua natembea dk 20 siku hiyo sikuzidisha dakika nne nilikua nishapanda kitandani nimelala.. sitaki kuikumbuka hiyo siku make hua napata uoga sana
nakumbuka nikiwa la std 7, afu ndo nilikuwa kati ya top 5 wanaotegemewa kubeba bendera ya shule.
Tukafanya mitihani, nikapata inglish 16% walimu walipagawa wakaniita ofisini wananishambulia wanataka kunichapa. Ile kuniuliza nimepatwa na nini.
Nikawajibu, Nimerogwa.
Ilibidi waniache maana nilikuwa nalia kama mfiwa.
Wale tuliokuwa na sifa zaidi ya moja tunacomment wapi?Ulikua NanView attachment 886201
~ Got chased by the headteacher and deputy head, a whole crowd of us in school uniform where in one area our school had been forbidden to enter by the school otherwise could result in expulsion, only 2 were caught, thank God I was not part of the two...
~ You used my camera to take photos of your sleeping friends, especially when they were drooling and posted it on the announcement boards...
~ Used to sneak out of school all the time as a day student and buy foodstuff that were all contraband...
~Would go to the dining hall before the lunch bell goes...
~ Used to write rylics of the artists of your preference... (remember 2Pac, Bob Marley?)
~ Ulizoea kujiandikia barua ili uonekane wewe ni mpokeaji mzuri wa barua.
~ Ukitumiwa EMS au TMO basi wewe unaonekana Baab kubwa!
~ Kuchomekea shati ilikuwa kero kwako, ulifanya hivyo wakati wa kukaguliwa Jumatatu baadae 'unapiga chini'.
~ Kufua soksi ilikuwa kero sana kwako, ulikuwa unazivaa mara 5 kwa wiki kisha unazifua Jumamosi (ukiwa na pair moja).
Hizi ni baadhi, tena nyingi ni kwa upande wa wanaume... Ladies, what you used to do (crazy ones pls).
dah hatar sana mkuu~ Got chased by the headteacher and deputy head, a whole crowd of us in school uniform where in one area our school had been forbidden to enter by the school otherwise could result in expulsion, only 2 were caught, thank God I was not part of the two...
~ You used my camera to take photos of your sleeping friends, especially when they were drooling and posted it on the announcement boards...
~ Used to sneak out of school all the time as a day student and buy foodstuff that were all contraband...
~Would go to the dining hall before the lunch bell goes...
~ Used to write rylics of the artists of your preference... (remember 2Pac, Bob Marley?)
~ Ulizoea kujiandikia barua ili uonekane wewe ni mpokeaji mzuri wa barua.
~ Ukitumiwa EMS au TMO basi wewe unaonekana Baab kubwa!
~ Kuchomekea shati ilikuwa kero kwako, ulifanya hivyo wakati wa kukaguliwa Jumatatu baadae 'unapiga chini'.
~ Kufua soksi ilikuwa kero sana kwako, ulikuwa unazivaa mara 5 kwa wiki kisha unazifua Jumamosi (ukiwa na pair moja).
Hizi ni baadhi, tena nyingi ni kwa upande wa wanaume... Ladies, what you used to do (crazy ones pls).
We noma inaonekana hata chuo kipindi cha discussion ulikuwaga unawasumbua sana wanagrup. Yan uliiva ukiwa form one tu???Nakumbuka nikiwa Form 1, tulikuwa tunafanya mtihani wa kiingereza basi baada ya muda wa mtihani kuisha mwalimu akasema wote wekeni kalamu chini, mimi kuangalia nilikuwa nimejibu maswali kama matano tu kati ya kumi na tano , basi tulivyoambiwa kila mtu alete mbele karatasi tulizofanyia mtihani mimi niliificha ya kwangu sikuikusanya kabisa. Siku mwalimu anarudisha makaratasi ya mitihani kwa wanafunzi na mimi nikamdai kuwa mbona mimi sijapata mtihani wangu, basi mwalimu alienda ofisini alitafuta bila kupata baade ikabidi anipe tu maksi akaniandikia 78%.