appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,909
- 3,218
nguruwe hachinjwi,anapigwa magongo,ina maana ananyongwa,sisi hatunyongi,tunachinja
kwa nini hamlii nguruwe this is sirious kweli kabisa kila nitakamuuliza hanipi jibu kila mtu anasema lake tell me
nguruwe hachinjwi,anapigwa magongo,ina maana ananyongwa,sisi hatunyongi,tunachinja
naitamani sana quran iliyoandikwa kwa kingereza plz naomba basi uniambie zinapopatikana maana naamini english ni lugha maarufu