CR7 Alipuuzwa? Tatizo la Wachezaji Ureno

Ronaldo kashakua Babu tayari asee ni sawa na yule kipa wa Cabe Verde aliekua anapewa misifa halafu Argentina leo wanaenda kumkanda Misri leo naziona goli nyingi sana
HIvi Unafikiri ile mechi ya cape Verde ilikuwa nyepesi kwa Argentina?
 
Unlike wachezaji wa Argentina ambao wanamtreat messi kama baba yao.
yaani mpaka unafurahia game,
yaani vijana wanapambana kuutafuta mpira kwa lengo tu la kumpatia Messi tu hata kama yuko katikati ya uwanja.

Wachezaji wa Argentina wana imani, mapenzi ya dhati, uaminifu na heshima kubwa sana kwa Messi ambae wanaona kabisa analibeba taifa lao kisoka.

wana ubinafsi 0% kwenye suala la kupambania taifa lao 🐒
 
6d4fbb779c43c30c41873fd224b93ada.webp
 
I was dissappointed kabisa, jamma dominance walikuwa nayo, na focus muds wa mwisho kabisa ikawatoka
Nilishasema kabla ureno hawezi mfunga Spain
Tena jana kajitahidi kala 1 ilikuwa ale 2
Lamine yamal alitakiwa akabwe na beki mwenye roho mbaya kama wakina pepe enzi hizo yule dogo muoga kuchezewa kiatu

Ova
 
yaani mpaka unafurahia game,
yaani vijana wanapambana kuutafuta mpira kwa lengo tu la kumpatia Messi tu hata kama yuko katikati ya uwanja.

Wachezaji wa Argentina wana imani, mapenzi ya dhati, uaminifu na heshima kubwa sana kwa Messi ambae wanaona kabisa analibeba taifa lao kisoka.

wana ubinafsi 0% kwenye suala la kupambania taifa lao 🐒
Sijui nini kiko implanted kwa wanaocheza na ronaldo he gets the most hate dispite yote alofanya
 
Nilishasema kabla ureno hawezi mfunga Spain
Tena jana kajitahidi kala 1 ilikuwa ale 2
Lamine yamal alitakiwa akabwe na beki mwenye roho mbaya kama wakina pepe enzi hizo yule dogo muoga kuchezewa kiatu

Ova
Mbona mendez jana kauuwezea tu?
 
yaani mpaka unafurahia game,
yaani vijana wanapambana kuutafuta mpira kwa lengo tu la kumpatia Messi tu hata kama yuko katikati ya uwanja.

Wachezaji wa Argentina wana imani, mapenzi ya dhati, uaminifu na heshima kubwa sana kwa Messi ambae wanaona kabisa analibeba taifa lao kisoka.

wana ubinafsi 0% kwenye suala la kupambania taifa lao 🐒
Gentleman sijakuona kwenye banda langu saba saba, au nawe umeogopa vijana waandamaji na askari polisi ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom