miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Kachukue bwana..........,mm cjui ntachukua lin coz ndo namaliza mwaka huu Bachelor yngu ya uhasibu.
Napenda kuuliza wakuu cpa bado ina advantage siku hizi, maana nataka nikachukue lakini nasikia wanaziponda
Mkuu, naheshimu mchango wako ingawa kidogo unapotosha. Huwezi kusajiliwa kuwa tax consultant kama huna uzoefu unaotakikana. Na uzoefu ataupata kirahisi kupitia kuajiriwa au kufanya kazi na consultant ambaye ni mzoefu!Acha mawazo ya kizamani wewe...... Kumbe pamoja na usomi wooote huo bado unamawazo ya enzi za kuajiriwa!!!!! Unasoma ili ukaajiriwe na "wahindi......." Wakunyonye mshahara ndo utachekelea? Badala ya kusoma ili uelewe mambo kisha ukajiajiri wewe unataka CPA ili ukaajiriwe..... Ili upate mshahara wa nusu milioni kwa mwezi....wakati kumbe unao uwezo wa kupata milioni 20 kwa mwezi!!!! Acha unyonge wewe.....
Sasa nakupa ushauri:
1). Soma digrii yako ya accounting and finance
2). Kisha soma CPA
Halafu baada ya kuhitimu USIAJIRIWE KABISA!!! Tena hata ile ajira ya "kujishikiza usijaribu, acha....
Nenda Mamlaka ya Mapato Tanzania ukajisajili kama Tax Consultant. Kwa mujibu wa maelezo yako, wewe uko elligible kusajiliwa kama tax consultant chini ya kifungu cha 134 na regulation 37 ya sheria ya kodi ya mapato ya mwaka 2004. Fanya kazi kama tax consultant miaka mitatu kisha nenda NBAA (assuming tayari una CPA) wao watakusajili kama certified public accountant. Utakuwa unatengeneza mahesabu ya watu na pia kuwafanyia ushauri wa masuala ya kodi.
Nakuhakikishia hutatamani tena kuajiriwa..... Pesa utakayoipata kwa kipindi cha miaka ya mwanzo (miaka mitano mpaka kumi hivi) ni pesa ambayo hutakuja uipate kwa kuajiriwa hata kama utafanya kazi miaka sabini!!!! Amini nikuambiayo mimi.
Kama haitoshi naomba uni PM nikuelekeze zaidi....
Mkuu, naheshimu mchango wako ingawa kidogo unapotosha. Huwezi kusajiliwa kuwa tax consultant kama huna uzoefu unaotakikana. Na uzoefu ataupata kirahisi kupitia kuajiriwa au kufanya kazi na consultant ambaye ni mzoefu!
37(2) Subject to paragraph (4) the Commissioner shall assess applications made under paragraph (1) of this regulation and, if satisfied that the person is of good character and has sufficient knowledge and experience with respect to matters arising under the Act, mayapprove and register the person as Tax Consultant for the purposes of this act and issue the person with a certificate to that effect.
Mkuu Malyenge asante kwa kutuwekea nukuu ya sheria husika. Je hiyo regulation 37(2) ina maana gani?
Btw, unaweza kutuwekea application form pia inayotumika kuomba kusajiliwa kama tax consultant?
Aidha, nakubaliana na wewe kuwa si lazima kuajiriwa au kufanya kazi chini ya mzoefu ili kupata uzoefu. Lakini naamini hiyo ni njia rahisi zaidi hasa kwa kazi za kitaaluma kama hiyo ya tax consultant (otherwise you end up trying to "re-invent the wheel").
Mkuu Malyenge asante kwa kutuwekea nukuu ya sheria husika. Je hiyo regulation 37(2) ina maana gani?
Btw, unaweza kutuwekea application form pia inayotumika kuomba kusajiliwa kama tax consultant?
Aidha, nakubaliana na wewe kuwa si lazima kuajiriwa au kufanya kazi chini ya mzoefu ili kupata uzoefu. Lakini naamini hiyo ni njia rahisi zaidi hasa kwa kazi za kitaaluma kama hiyo ya tax consultant (otherwise you end up trying to "re-invent the wheel").
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nachukua accounting and finance, nawza sana kuhusu ajira baada ya kumaliza chuo mwakani, ningependa mnisaidie kunijulisha hivi siku hizi mtu ukiwa na cpa bado inasaidia au ni useless maana nataka nikishamaliza masomo yangu nikachukue na cpa lakini nasikia watu wanaziponda hadi naanza kua na wasiwasi kwamba ni bure tu siku hizi, naomba majibu wadau
Kweli vijana kazi ipo! Kuna kazi bila kuwa CPA Holder huwezi kufanya kisheria,Kama wewe ni mhasibu na ndoto zako ni kuwa mhasibu na si karani wa uhasibu CPA/ACCA/ACA haikwepeki!