CPA inaumuhimu kuisoma??

CPA inaumuhimu kuisoma??

Kwa mtu aliyesoma accounts alaf akamaliza akaenda kuchukua masterz ya accounts kwenye kazi inakuwa vp ushauri kwa wana jf!

Ndugu,asikudanganye mtu CPA ndo mpango mzima ,ndo njia pekee ya kuexcell kwenye account proffession ni lazima ufanye hizo proffessional ezams za CPA au ACCA , na hautaregreat accounting ni proffession nzur balaaa.
 
asante mkuu wacha nitengeneze 1st class ntaifanya 2
 
CPA maana yake ni Certified Accountant ni sawa na kusoma CoET then ukaenda ERB kujisajiri na kuwa Certified zote mbwembwe tu cha msingi bank unasoma sh ngapi kwenye acc!!!

Certified Public Accountant.CPA ndo mpango mzima baba.
 
Acha uoga kijana sasa unasoma ili uwe nani kama hutaki kuwa professional accountant? kama unataka kuwa cashier sawa you can ignore it
 
asante mkuu wacha nitengeneze 1st class ntaifanya 2

C lazima first class,labda kwa ajili ya prestage bt all you need in this world of business ni Upper second plus na pass in proffessional exams
 
wengi wanaoponda cpa either wamejarib kufanya wakashindwa au wanaogopa kuifanya
 
Kwa mtu aliyesoma accounts alaf akamaliza akaenda kuchukua masterz ya accounts kwenye kazi inakuwa vp ushauri kwa wana jf!
Masters or CPA zote ni nzuri, Ila inategemea choice yako, ukitaka uwe kiacademic vizuri chukua master's, ukitaka uwe kiprofessional vizuri chukua CPA, but keep in mind muhasibu bila CPA in sawasawa na dereva bila leseni
 
Back
Top Bottom