CPA foundation level mwanza

CPA foundation level mwanza

Joined
Sep 27, 2017
Posts
7
Reaction score
12
Natafuta wa ku discuss nae CPA foundation level nipo maeneo ya Ngudu kwimba mwanza. haya mambo bila discussion hayaendi kabisa.....
 
Badili jina la humu, yani serious unajiita supu ya nguruwe? Unategemea muislam atatamn kudiscuss ba wewe?
 
Kama kweli mtu anataka kudiscuss wala hatajali jina

Nakuhakikishia sisi waislam ni haram hata kukaa karibu na mzoga au mfupa wa nguruwe. Ukipata watakua wakristo mnaoshiriki nao nguruwe
 
Back
Top Bottom