Habari wana JF! Kutokana na ugumu wa kupata ajira kwa muda mrefu, nimepata mtaji kidogo na kufanya maamuzi ya kujiajiri kwa kupika vyakula na kuuza kwenye maofisi maeneo yote ya Arusha mjini. Kwasasa sina ofisi/ eneo kwani kodi nayo ni changamoto, kwani ndo kwanza naanza, hivyo napikia nyumbani.
Huduma hii nafanya kwa order ambapo napokea / kufatilia order asubuhi na mchana napeleka kwa wahusika. Naomba mniunge mkono ndugu zangu wa Arusha, kwa mawasiliano unaweza kunipata kwa namba 0764515165, utanielekeza ulipo na nitakuletea menu.