Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,403 12,775 May 13, 2016 #3 Mkuu vipi hiki kibwajizo cha nchi kupaa kiuchumi hakijamfikia huyu dogo?
GreenCity JF-Expert Member May 28, 2012 5,795 4,496 May 13, 2016 #4 Mkuu mshana jr kwa nini umetumia hiyo heading kwa picha ya kijana huyu? What is your motive!
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,618 May 13, 2016 #5 Dah, umenikumbusha mbali sana, mtaani kati ya watoto 12 lazima kuna mmoja alikuwa na funza kama huyu. Kuna wimbo tulikuwa tunawaaimbia, ... ana mimba, atazaa funza. Basi ugomvi wake ulikuwa balaa.
Dah, umenikumbusha mbali sana, mtaani kati ya watoto 12 lazima kuna mmoja alikuwa na funza kama huyu. Kuna wimbo tulikuwa tunawaaimbia, ... ana mimba, atazaa funza. Basi ugomvi wake ulikuwa balaa.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 298,978 751,639 May 13, 2016 Thread starter #6 GreenCity said: Mkuu mshana jr kwa nini umetumia hiyo heading kwa picha ya kijana huyu? What is your motive! Click to expand... Amevaa pull neck ya cowboy
GreenCity said: Mkuu mshana jr kwa nini umetumia hiyo heading kwa picha ya kijana huyu? What is your motive! Click to expand... Amevaa pull neck ya cowboy
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 298,978 751,639 May 13, 2016 Thread starter #7 Horseshoe Arch said: Mkuu vipi hiki kibwajizo cha nchi kupaa kiuchumi hakijamfikia huyu dogo? Click to expand... Wala huyu hana habari kabisa
Horseshoe Arch said: Mkuu vipi hiki kibwajizo cha nchi kupaa kiuchumi hakijamfikia huyu dogo? Click to expand... Wala huyu hana habari kabisa
Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,403 12,775 May 13, 2016 #8 mshana jr said: Wala huyu hana habari kabisa Click to expand... Kuna haja ya wanasiasa kuwa na kauli mbiu tofauti tofauti kulingana na makundi maalum!
mshana jr said: Wala huyu hana habari kabisa Click to expand... Kuna haja ya wanasiasa kuwa na kauli mbiu tofauti tofauti kulingana na makundi maalum!
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 298,978 751,639 May 14, 2016 Thread starter #9 Horseshoe Arch said: Kuna haja ya wanasiasa kuwa na kauli mbiu tofauti tofauti kulingana na makundi maalum! Click to expand... Hawana fikara za namna hii hata siku moja
Horseshoe Arch said: Kuna haja ya wanasiasa kuwa na kauli mbiu tofauti tofauti kulingana na makundi maalum! Click to expand... Hawana fikara za namna hii hata siku moja
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,258 May 14, 2016 #11 mshana jr said: Click to expand... JF waongeze kibofyo ch KUSIKITIKA