...Hatari sana! Huwa nimejiuliza sana; hivi hawa waheshimiwa mazingira yao ya maisha safi kabisa; barabarani ni ma-V8-R ya maana full viyoyozi; majumbani kwao nako safi; kipato elites kwa standards za nchi hii.Alafu nimeona tweet yako kuwa Marehemu Lwakatare atazikiwa na serikali.
Kama ni kweli, kwanini wanaficha?
Zitto ni vizuri ukafafanua jambo hili pia.
Wewe ukifanikiwa kuwa Mbunge, huenda utakuwa ni hasara kwa Taifa!!Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Ni ushamba wa wenu kutokujuwa serikali inafanyaje kazi, sio lazima mtu awe sehumu fulani ndio kazi inaendelea.Kuendesha mapambano ukiwa zako Chato,yeah right kuna njia nyingi za kupambana na Covid-19
Unatafuta vipi mchawi wakati Mchawi anajulikana?Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
Duh...!, mbona tunaanza kuchuriana?. Mimi nilidhani mwana jf mwenzetu yoyote akionyesha nia ya kuwania ubunge, regardless ni jimbo gani au kupitia chama gani, nilidhani ndio wakati wa wana JF kuonyesha solidarity kwa kuahidu tutamsupport kwa kumuunga mkono tena tunapaswa kumsupport kwa hali na mali na sio kumkatisha tamaa!.Wewe ukifanikiwa kuwa Mbunge, huenda utakuwa ni hasara kwa Taifa!!
Thubutuu!! ATCL imeshaula woteKila Kaya tupewe laki3 huo mpunga upo kweli?
Kwani hivi vifaa vya kuwakinga wahudumua wa afya havipo? Maana kuna kipindi Jack Ma alileta vifaa vingi kwa ajili ya wahudumu wa afya.Kusimama pamoja ni pamoja na kushauri kama wanavyofanya wapinzani, Zitto na ACT wakiwemo.
Kama ushauri unapuuzwa,huku madhara yanaongezeka,ni kwanini wahusika wasitakiwe kuwajibika?
Taifa letu linapita pagumu sana....Zitto, kwenye hili, sisi tuliamua kila nchi iendeshe mapambano kivyake vyake bila kuiga, kama hao marais wengine wanaendesha mapambano kwa kuonekana sio wao, kwanini Magufuli awaige wakati kuna njia nyingi za kuendesha mapambano na sio lazima mpaka kila mtu aone, issue ni kuona au kupambana?.
P
I beg to differ with you.Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Mapambano yapi? Maombi? Au yale ya kumtukuza? Mbona wakati unaanzisha ule Uzi hakuna au hata wewe binafsi ulisema tuko kwenye mapambano?Zitto, siungi mkono hoja, kwa sasa tuko katikati ya Mapambano, huu sii wakati wa kunyoosheana vidole kulauniana, kushutumiana na kutafuta mchawi tuwajibishane, huu ni wakati wa kusimama pamoja, stand together united and fight as one.
P
Maambukizi kutoka tarehe2/april-20 april ongezeka la wagonjwa ni 1,170%! With this date hakuna lolote llinafanywa la maanaSiasa siasa siasa, kila muda ni siasa, maisha mtaishi lini?
Waache wataalamu waliobobea hata mambo wafanyakazi zao.