Katika wizara iliyojiandaa vizuri TZ, walau kimfumo, kwenye "preparedness" ya dharura, ni ile yenye dhamana ya afya. Tayari wizara ina miongozo mbalimbali ya namna bora ya kujiandaa na majanga. There is always room for improvement in anything, so they may as well look for ways to improve, e.g., conducting a specific Vulnerability, Risk Assessment and Mapping (VRAM) for COVID... and update the previous VRAMs and HSI (Hospital Safety Index) reports.Kuna kitu kinaiitwa 'preparedness' kwamba unajiandaa kwa dharura hata kama haipo katika njia yako
Kinachosemwa ni kwamba huwa wanaangalia "excess deaths". Hilo halikusikika likisemwa.@Mlenge unachotaka kusema hapa ni kuwa
Hiyo kauli kuna yule! naye alikuwa anaisema lakini haina mantiki.Kinachosemwa ni kwamba huwa wanaangalia "excess deaths". Hilo halikusikika likisemwa.
Halafu wanaosema, ni wenyewe Wahindi... These diseases kill many more than coronavirus - Times of India
Mgaya ni huyu Profesa wa NIMR?Top Tanzania scientist says COVID-19 vaccine ‘experimental’
Tanzania’s President to set up committee to assess COVID-19 debacle, but a top scientist is pushing back against vaccines.www.scidev.net
''When asked by SciDev.Net whether his remarks could lead to COVID-19 vaccine hesitancy among the public, Mgaya said: “The urgency to push the vaccines to the mass consumption phase does not make them non-experimental.”
Ipo siri kubwa kwenye hili sakata la Covid-19.
You are correct, but no one knows the effects /madhara ya hizo chanjo baada ya mwaka moja au miwili. Research iliyofanywa Canada imeonyesha animals kufa ghafla nk. Lakini hiyo siyo sababu ya kupinga hizi chanjo. Chanjo inatakiwa kuwa safe period.Mgaya ni huyu Profesa wa NIMR?
Kuna ujinga unaenezwa duniani. Hawa wote wanaodhani vaccine ina matatizo milini mwao wamebeba Polio, DPT n.k. Sasa sijui wanakataa nini. Leo wengine wamepeleka watoto kupata chanjo.
Wajanja duniani wametoa vaccines kwa watu wao, Africa na conspiracy theory na ambao hata vyoo vya shule wanasubiri balozi wa Japan ajenge eti wanahoji vaccine
Tuliona wasomi wakubwa tu wakibugia maji ya mchachai kule Madagascar !
Halafu kuna wakaidi , well, virus haina ukaidi na haijui nyadhifa, wasifu au hadhi.
Wapambe ! tunahitaji vaccines ninyi msiohitaji hamlazimishwi. Kwanini mnahangaika kushawishi umma
Tunataka chanjo kama hamtaki msipige ila msitumie mitandao kupotosha umma
Mbuzi kala mkeka na kuwatia ukiwa, mahangaika sana!
Hiyo kauli kuna yule! naye alikuwa anaisema lakini haina mantiki.
Ni kutokuwa na sympathyau concerns na maisha ya mwanadamu.
Watu wa aina hii wana moral decay, na ni wakatili sana. Hawajui thamani ya maisha ya mwanadamu
Tunaangalia vifo kwa wingi wake na muda. Inapofikia crematorium haziwezi ku handle kuna tatizo
Inapofikia kuni hazitoshi ina maana ile natural pattern imepita kiwango
Inapofikia watu wanachomea maiti katika backyard kuna tatizo
Inapofikia serikali inalegeza masharti ku accommodate situations kuna tatizo
Inapofikia mataifa 40 yanaingilia kati si hali ya kawaida
Ni hivi kuna tatizo India, hao wahindi wanasema na wanamlaumu sana Narendra Mohdi kwa kudharau ushauri wa wataalam kama alivyofanya Bosnaro wa Brazili , Trump na washamba wengine huko duniani
Mtahangaika sana, miili yenu imejaa chanjo! ukweli mnajujua mnachotaka ni kuubabisha umma.
Mbuzi alaumiwe, kala mkeka wapambe wamesimama viambazani
Wacha1 ,You are correct, but no one knows the effects /madhara ya hizo chanjo baada ya mwaka moja au miwili. Research iliyofanywa Canada imeonyesha animals kufa ghafla nk. Lakini hiyo siyo sababu ya kupinga hizi chanjo. Chanjo inatakiwa kuwa safe period.
Chanjo za zamani zilifanyiwa upembuzi na madhara hayakutokea, vile vile waliotengeneza hizo chanjo hawakuogopa kushitakiwa, hatuwezi tukaamini hizi chanjo mpya ambazo zinafanywa kimashindano na kuondoa kinga ya kushitakiwa kama zitakuwa na hitilafu. Kwa nini hawataki kushitakiwa? Kwa nini wanaopewa chanjo wachukue risk na sio watengenezaji wa chanjo?
BTW Tanzania tangu mwaka jana huu ugonjwa mbona haupambi moto kama tunavyoaminishwa?
It works the same way vaccine works, perhaps.But but but steam inhalation works very well in India. Besides, India has got fantastic herbs such as turmeric, garlic, cinnamon etc etc etc.
How is that working?
Sijui hiyo ni stage gani ya Clinical Trial. Sijui.You are correct, but no one knows the effects /madhara ya hizo chanjo baada ya mwaka moja au miwili. Research iliyofanywa Canada imeonyesha animals kufa ghafla nk. Lakini hiyo siyo sababu ya kupinga hizi chanjo. Chanjo inatakiwa kuwa safe period.
Si kweli. Katika uzi huu tumeeleza Dr E. Jenner alivyoanza ugunduzi wa chanjo kwa kutumia wadudu wenyewe na kumpa mtu mzima. Ilibainika kuwa katika immune compromized situation watu wanakufa hasa wenye debilitating or pre existing conditions. Baada ya hapo ikafanyika live attenuated kwamba, wadudu wanapungumzwa makali ili wasilete tabu kwa watu wenye matatizo yanayohusiana na immunity.Chanjo za zamani zilifanyiwa upembuzi na madhara hayakutokea, vile vile waliotengeneza hizo chanjo hawakuogopa kushitakiwa, hatuwezi tukaamini hizi chanjo mpya ambazo zinafanywa kimashindano na kuondoa kinga ya kushitakiwa kama zitakuwa na hitilafu. Kwa nini hawataki kushitakiwa? Kwa nini wanaopewa chanjo wachukue risk na sio watengenezaji wa chanjo?
A! hili hata sina jibu. Naomba tuliache tu maana tukilinyumbua tutaishia kwingine! pleaseBTW Tanzania tangu mwaka jana huu ugonjwa mbona haupambi moto kama tunavyoaminishwa?
Hapa hakuna kitu kigumu hata kimoja, kuna watu wagumu kuelewa na hasa kujifunza kwa kutumia internet na conspiracy theory. Chanjo kama ya flu ipo miaka mingi na inaelezeka, sitashangaa hata covid ikiwa hivyoSwala la huu ugonjwa bado ni gumu, hakuna hata mmoja mwenye majibu sahihi ni ubabaishaji tu. Muda ndio utaongea, kwa wale ambao wanataka kufuata chanjo nje rukhsa. Serikali ya Tanzania bado haijaridhia chanjo hadi hivi sasa.
COVID-19: Pfizer says demand for vaccine could be long-lasting like flu jab
The company hiked its guidance for sales this year of the drug, which was developed with German partner BioNTech, to $26bn.news.sky.com
Nunueni basi na jab ya flu? Kama nchi ni lazima kujiridhisha na sio kufuata upepo tu jinsi unavyovuma.Hapa hakuna kitu kigumu hata kimoja, kuna watu wagumu kuelewa na hasa kujifunza kwa kutumia internet na conspiracy theory. Chanjo kama ya flu ipo miaka mingi na inaelezeka, sitashangaa hata covid ikiwa hivyo
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba wale variants wa India B.1.617 wame mutate , na new strain ni lethal 15X
Strain hiyo ina evade vaccine kwa mujibu wa habari. Tunasisitiza habari hizo zibaki kuwa zilivyo, ikitihibitika kisayansi tutawajulisha. Sisi hapa si Washamba na hatutakumbatia ushamba,tunaiamini Sayansi
Kuwaambia Watanzania wafuate chanjo nje ya nchi ni kuwanyima haki yao kama Raia.
Chanjo haitolewi kwa mtu binafsi, inaweza kutolewa na mashirika binafsi katika mazingira fulani.
Chanjo ni jukumu la serikali na serikali za dunia zinafanya hivyo
Kukataa chanjo ya Corona hakuna maana ikiwa tunapokea zile EPI
Chanjo iletwe kama dawa nyingine, anayetaka apige asiyetaka asilazimishwe. Period
Chanjo hailipiwi na serikali , zaidi ya hayo nchi za Ulaya zilitoa mabilioni ? ?27 hadi leo hazijulikani zilitumikaje
Si jukumu la serikali kuhamasisha maombi , Swala, Sala na Mapambio. Hiyo ni jukumu la mtu binafsi kuchagua
Serikali inapohubiri dini badala ya kuleta chanjo ni kituko sana.
Lini imani ikawa muongozo wa umma?Huu ujinga umetugharimu na tusiuendekeze tena!
Chanjo iletwe, kila mmoja achague. Kama hakuna chanjo basi tusisikie majani au mitishamba, kila mtu ajifie tu
Tusiwanyime Raia haki zao, wapo wanaojali na wapo tayari kununua chanjo kwa gharama yoyote.
Wapambe, mumesimama viambazani, miwani mliacha wapi? Tunajua mbuzi kala mkeka, lakini miwani je!
Kila siku nauliza swali, kujiridhisha na nini? Unaletewa chanjo za EPI kila siku. Leo kipi kigeni?Nunueni basi na jab ya flu? Kama nchi ni lazima kujiridhisha na sio kufuata upepo tu jinsi unavyovuma.