Cover la Roof Rail ya Rav 4 2008 Linahitajika

Cover la Roof Rail ya Rav 4 2008 Linahitajika

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
Habari WanaJF,

Kam kichwa cha habari kinavyosomeka. Nahitaji hilo cover maana ambalo lilikuwepo kwenye gari langu limeibiwa na wezi wa hapa mjini kwa kuwa nilikuwa sinaliwekea super glue.

Hivyo kwa mwenye nalo naomba aniuzie na nahitaji cover la nyuma rail ya mkono wa kulia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom