Obama anamchezo wa kuteua watu wakati congress members wakiwa likizo .Maraisi wengi haswa George bush did this .why sasa ni unconstitutional ?
Wewe nao kila kitu Racism .Majudge walioamua hayo ni liberal .ila mimi swali langu maraisi wote huwa wana appoint watu wakati congress wapo likizo .Mimi ni republican lakini naona hapa Obama ameonewa .Bush appointed 30 peopleBecause of venomous racism spewed by GOP. You should look at your books and you find this venomous spew. Republicans will now break any handshake agreements they have, and start to flex their renewed minority muscle.
Wewe nao kila kitu Racism .Majudge walioamua hayo ni liberal .ila mimi swali langu maraisi wote huwa wana appoint watu wakati congress wapo likizo .Mimi ni republican lakini naona hapa Obama ameonewa .Bush appointed 30 people
Why now, if there is no racial prejudice? A small win for the Constitution. A great day for America! You should be happy.
Unajua Obama is too radical .speech yake ya inauguration iliwasikitisha sana watu especial blue democratic .USA is a capitalist country na Obama ana socialist commust ideas .Anaogopesha watu ,week hii Obama atafanya interview atakuwa na Bill Clinton ( centric ) .They have to stop him.obama anacampaigh chinichini awe raisi for third term na bill iko introduced to allow to run unavyotaka.Obama presidency is becoming a joke watch outb
No one Nina watoto nawafundisha history wanampenda Obama na malia na Sasha age Yao .na my political view ni zangu sio wanangu.It was history na emotional kuona raisi mweusi na inauguration speech yake ni kitu watu wote tulikuwa tunasubiri.Bill Clinton ( kichwa) alimove to the centre Kwenye second inagural yake .speech ya obama niliisikiliza na wanangu waliisikiliza .it was bad kwa kweli yaani hata Mugabe ana Nafikiri .nivizuri kusikiliza both side na kuweigh in .Angalia fox news sometimes na msikilize rush lumbaugh usiwe una base liberal only . Ila its very hard to listen to liberals.Again bill Clinton still the best Obama na bush they need to be friendsTwo things here:
Kwanza ulidai hakuna mtu alisikiliza Obama, leo umejuaje speech yake ilikuwa radical? Unaona jinsi unavyo zidi kusema ndio jinsi tunaona chuki ilijaa ndani ya kifua chako. Halafu unasema hii kitu hakuna racial prejudice wakati hata wewe unaonyesha katika kila posti zako.
Pili: Kwanini Rais Obama anawanyima usingizi? Maana sasa mnampa term ya tatu. Mashaalah, Mwenyezi Mungu atasikia maombi yenu.
Sasa nionyeshe huo uradical wa Rais Obama.
Sijawahi kuona Republican ambae sio Mmarekani.Mimi ni republican
Two things here:
Kwanza ulidai hakuna mtu alisikiliza Obama, leo umejuaje speech yake ilikuwa radical? Unaona jinsi unavyo zidi kusema ndio jinsi tunaona chuki ilijaa ndani ya kifua chako. Halafu unasema hii kitu hakuna racial prejudice wakati hata wewe unaonyesha katika kila posti zako.
Pili: Kwanini Rais Obama anawanyima usingizi? Maana sasa mnampa term ya tatu. Mashaalah, Mwenyezi Mungu atasikia maombi yenu.
Sasa nionyeshe huo uradical wa Rais Obama.